Makonda: Rais Samia anahitaji sana maombi. Kanisa halina sifa, na halipaswi kunyoosha kidole

Hili kanisa nalo linajipendekeza!
 
HILO KANISA ALIMOTOLEA HIYO HOTUBA LISIPOKUJA NA KAULI YA KUMKEMEA VIKALI LITAKUWA LA OVYO SANA
 
Yaani anataka walitheri wamwombee mwislam ambaye hajakiri kwamba yesu ni Mwokozi wake. Hayo maombi Mungu atayapokea kweli.
 
Yaani anataka walitheri wamwombee mwislam ambaye hajakiri kwamba yesu ni Mwokozi wake. Hayo maombi Mungu atayapokea kweli.
Kwani kwa imani yako ukimuombea mtu wa imani nyingine , utofauti wa imani zenu unaweza kuwa kikwazo kwa maombi yako kufanya kazi?
Au tuseme maombi yako ni dhaifu kiasi cha kushindwa kuvuka mipaka?
 
Sawa kwa hiyo waache kumkosoa kwamba hapa umeenda isivyo bali wakemee pepo linalomtuma kufanya isivyo? Je siku wakikemea na kumuita Mungu wa Elia ashushe israeli amuangamize huyo mtu mtakubali?
 
Of course RC ni kanisa la mizimu tu

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…