Makonda: Rais Samia anahitaji sana maombi. Kanisa halina sifa, na halipaswi kunyoosha kidole

KKKT limekuwa kanisa la ajabu. Wanasiasa wanawatukana madhabahuni kwenu.
 
 

Attachments

  • tweeload_b794bda7.mp4
    633.4 KB
asome Danieli 4:31-33 before it too late
 
Ama kweli watu wenye makalio makubwa akili hawana
 
Tz kuna Makanisa mengi, Kalilenga Kanisa gani sasa?
Mbona kauma maneno?
 
RC walishapiga marufuku viongozi wa kisiasa hata kusalimia kanisani, madhara yake ndiyo hayo
 
Kama waziri wa michezo anachukua kipaza sauti nakuanza kuelekeza kanisa jinsi ya kufanya basi Hilo sio kanisa tena.
Yaani makonda ndio wakuelekeza kanisa Cha kufanya , sasa hao wachungaji na viongozi kazi yao ni nini?
 
Apepiga penyewe, minyumbu itapita kimya hapa Huku ikisonya tu
 
Hawa wamelikosea kanisa kumpa mic huyu mpuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…