Makonda: Rais Samia anahitaji sana maombi. Kanisa halina sifa, na halipaswi kunyoosha kidole

Makanisa ni mali ya CCM?
 

Attachments

  • 6405238-eae1ceee959bf6fd97d9fb2eab102cc4.mp4
    9.2 MB
Wanaotakiwa kutoa neno wanapewa neno, wanaopaswa kufundisha wanafundishwa, wanaopaswa kuelekeza wanaelekezwa, wanaopaswa kukemea wanakemewa. Hawa ndio viongozi wa dini wa leo wanakubali kukemewa na waziri halafu mko bize mnasema tuwapelekee sadaka kwamba fedha na zahabu zote ni mali ya Bwana! Wao wanaifanya kazi ya Bwana kweli??
 
Imefikia hadi anaingia makanisani kuwakoromea waumini, hatupo salama
 
Ibadani hotuba ni moja tu ya kiongozi wa ibada, hizi zingine hizi ndo kama hizi.
 
Yohana Mbatizaji alimkemea Mfalme Herode kwa kuiba mke wa nduguye!​
 
Je maombi aanahitajika kwa winging ama kwa uchache kama ni kwa winging mbona mengi yalipunguzwa Oct. 29?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…