voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Upinzani mmeshindwa kujitambua!
Chadema pia hamna sera zaidi ya kuendekeza visasi na majungu.
Waliposema siasa za mikutano ya hadhara,hawakusema kwenda kutungia watu tuhuma.
Kama mbazo tuhuma dhidi ya mtu yeyote,mahali pa kuzipeleka ni mahakamani.
Kuendelea kuchikonoa maisha ya watu,ni kuonyesha jinsi mlivyo wapuuzi.
Kubenea alikwenda mahakamani na kumshitak8 Makonda huyuhyu.
Je!alikosa ushahidi?
Muiteni Lissu na Lema,waje kufanya siasa,mtaji wao wa kuishi kwa kudanganya uongo wa kutishiwa maisha ulikwisha Expire.
Sasa mmepewa ruksa ya mikutano bado mnatafuta chokochoko zingine!
Aliyewaweka kijiweni for six good years alikwisha kufa.
Sasa mmejaa sumu na kila mmoja!
Hamuoni baadhi ya mliowachukia wakirudi kwenye ulingi kwa nguvu mpya kabisa.
Hii ni dalili ya kuwafanya muelewe kuna kwenda mbele kisiasa na pia kuna kurudi nyuma kimaisha.