just relax,
mihemko na makasiriko useless kama hayo ni nonsense tu gentleman.
Serikali sikivu ya ccm inachapa kazi na kuchanja mbuga katika kuwatumikia wananchi bila mbamabamba zozote zile![]()
Hivi bado kuna watu huwa wanakuchukulia seriously
just relax,
mihemko na makasiriko useless kama hayo ni nonsense tu gentleman.
Serikali sikivu ya ccm inachapa kazi na kuchanja mbuga katika kuwatumikia wananchi bila mbamabamba zozote zile![]()
take me as you wish gentleman,Hivi bado kuna watu huwa wanakuchukulia seriously
Nilijua tuu utaandikaYes,
waziri Paul Makonda yupo sahihi 100%,
Na si hivyo tu,
serikali sikivu ya CCM, inatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM toleo la2025, kulingana mahitaji ya wananchi na vipaumbele vya waTanzania, bila kujali mihemko, makelele, mayowe, makasiriko au matusi ya wasusa uchaguzi au vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi![]()
Kama zuzu vile. Huyo makande ni waziri wanini kwani? Au anajiandaa kuchuq nafasi ya rais WA mawe?Yes,
waziri Paul Makonda yupo sahihi 100%,
Na si hivyo tu,
serikali sikivu ya CCM, inatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM toleo la2025, kulingana mahitaji ya wananchi na vipaumbele vya waTanzania, bila kujali mihemko, makelele, mayowe, makasiriko au matusi ya wasusa uchaguzi au vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi![]()
na mihemko useless hivyo huwezi kuelewa chochote gentleman, just relax kidogo 🐒Kama zuzu vile. Huyo makande ni waziri wanini kwani? Au anajiandaa kuchuq nafasi ya rais WA mawe?
ok.🐒Nilijua tuu utaandika
Mtani ila mmeaishiwa mpo tu hamjua cha kufanya kinachokuja ndio hiyo mnaenda nachoo