Makonda: Serikali haiendeshwi kwa presha ya maneno

just relax,
mihemko na makasiriko useless kama hayo ni nonsense tu gentleman.
Serikali sikivu ya ccm inachapa kazi na kuchanja mbuga katika kuwatumikia wananchi bila mbamabamba zozote zile

Hivi bado kuna watu huwa wanakuchukulia seriously
 
Nilijua tuu utaandika
Mtani ila mmeaishiwa mpo tu hamjua cha kufanya kinachokuja ndio hiyo mnaenda nachoo
 
Kama zuzu vile. Huyo makande ni waziri wanini kwani? Au anajiandaa kuchuq nafasi ya rais WA mawe?
 
Kama zuzu vile. Huyo makande ni waziri wanini kwani? Au anajiandaa kuchuq nafasi ya rais WA mawe?
na mihemko useless hivyo huwezi kuelewa chochote gentleman, just relax kidogo πŸ’
 
Makonda hana credibility yoyote kwenye watu wenye akili yeye azidi kukusanya wakina mama uko na wajinga wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…