GE2025 Makonda: Shikamoo Wajumbe, hii Shikamoo ni ya Kura haihusiani na Umri

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ambaye hivi karibuni aliteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ameendelea na mchakato wa kujitambulisha kwa wajumbe wa Chama kwa kutembelea Kata mbalimbali ndani ya Jimbo hilo.

Akiwa katika kata ya Olasiti Julai 31, 2025 akiwa ameambatana na wagombea wenzake sita Makonda amesisitiza kuwa endapo atapewa nafasi ya kuwa Mbunge hatakuwa na ubaguzi na kwamba kwao watu wote ni sawa vilevile ameweka msisitizo mkubwa katika umuhimu wa umoja kama msingi wa maendeleo ya Arusha Mjini na Taifa kwa ujumla.

Ngoja tuone,yaani Arusha ni wajanja wa Bure,mgeni wa mwaka mnampa ubunge!
 
Hivi hanaga kwao huyu?
Anakwao, Tanzania siyo Kenya eti ukizaliwa kuluwa ukulie huko uzekee huko na huwezi kupata ffursa sehemu nyingine isipokuwa kwenu

Hicho unachokisema wewe ni ubaguzu wa kikanda ambapo Tz tulisha zika, wewe mwenywe huishi ulikozaliwa halafu unaanza kumshangaa makonda, mtete kwa madhaifu yake na siyo kikanda,

Acha ufwala
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ambaye hivi karibuni aliteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ameendelea na mchakato wa kujitambulisha kwa wajumbe wa Chama kwa kutembelea Kata mbalimbali ndani ya Jimbo hilo.

Akiwa katika kata ya Olasiti Julai 31, 2025 akiwa ameambatana na wagombea wenzake sita Makonda amesisitiza kuwa endapo atapewa nafasi ya kuwa Mbunge hatakuwa na ubaguzi na kwamba kwao watu wote ni sawa vilevile ameweka msisitizo mkubwa katika umuhimu wa umoja kama msingi wa maendeleo ya Arusha Mjini na Taifa kwa ujumla.

Makonda lazima tumpatie ushindi kwa kishindo
 
Back
Top Bottom