Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
kwa uchaguzi huu wa katiba ya ccm?? kwani gambo alishindajeHuyu ashukuru Mungu chadema hawashiriki uchafuzi mkuu, asingetoboa ubunge a town...na vicent vyake vingeliwa vilevile!!.
Ngoja tuone,yaani Arusha ni wajanja wa Bure,mgeni wa mwaka mnampa ubunge!Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ambaye hivi karibuni aliteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ameendelea na mchakato wa kujitambulisha kwa wajumbe wa Chama kwa kutembelea Kata mbalimbali ndani ya Jimbo hilo.
Akiwa katika kata ya Olasiti Julai 31, 2025 akiwa ameambatana na wagombea wenzake sita Makonda amesisitiza kuwa endapo atapewa nafasi ya kuwa Mbunge hatakuwa na ubaguzi na kwamba kwao watu wote ni sawa vilevile ameweka msisitizo mkubwa katika umuhimu wa umoja kama msingi wa maendeleo ya Arusha Mjini na Taifa kwa ujumla.

Anakwao, Tanzania siyo Kenya eti ukizaliwa kuluwa ukulie huko uzekee huko na huwezi kupata ffursa sehemu nyingine isipokuwa kwenuHivi hanaga kwao huyu?
Hapo Arusha ndio kwaoHivi hanaga kwao huyu?
Upo zama za giza?Hivi hanaga kwao huyu?
Makonda lazima tumpatie ushindi kwa kishindoAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ambaye hivi karibuni aliteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ameendelea na mchakato wa kujitambulisha kwa wajumbe wa Chama kwa kutembelea Kata mbalimbali ndani ya Jimbo hilo.