Nafuatilia mkutano wako ITV kwa wananchi uliouita ni Taarifa ya miezi 6 ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali mkoani Arusha.
Lakini ninachosikia kupitia kwa waandishi kina Zembela uliowaandaa, maswali mengi kuhusu Matendo Yako binafsi kama Makonda.
Hakika ungesema uko kwenye kampeni za kujijenga. Maana nilitegemea utueleze Hali ya elimu, siasa, afya, amani, utalii nakadhalika vikoje. Naona saa nzima imeenda maswali na maelezo yote ni mambo binafsi.
Washauri wako wamekuangusha sana.