Sasa unaweza tumia kinyesi kujisafisha?Mkuu kumbuka toka Kinana amejiengua hadi sasa Chama hakina Makamu mwenyekiti, Nadhani hivi karibuni Chama kitaitisha Mkutano wake Mkuu na kuna mabadiliko yatatokea halafu ni kama jamaa atakula Shavu, ni kama ameambiwa Jisafishe kwanza
Kikao cha kimkakati maswali ya kimkakati na majibu ya kimkakati. Wale wote Waandaaji Waendeshaji na Wauliza maswali walipangwa.Kama waandishi wamekimbilia kwenye kuuliza maswali binafsi hayo siyo matatizo yake ni matatizo ya waandishi
It seems hii issue ni ya kimkakati sana.Nafuatilia mkutano wako ITV kwa wananchi uliouita ni Taarifa ya miezi 6 ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali mkoani Arusha.
Lakini ninachosikia kupitia kwa waandishi kina Zembela uliowaandaa, maswali mengi kuhusu Matendo Yako binafsi kama Makonda.
Hakika ungesema uko kwenye kampeni za kujijenga. Maana nilitegemea utueleze Hali ya elimu, siasa, afya, amani, utalii nakadhalika vikoje. Naona saa nzima imeenda maswali na maelezo yote ni mambo binafsi.
Washauri wako wamekuangusha sana.
Nafuatilia mkutano wako ITV kwa wananchi uliouita ni Taarifa ya miezi 6 ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali mkoani Arusha.
Lakini ninachosikia kupitia kwa waandishi kina Zembela uliowaandaa, maswali mengi kuhusu Matendo Yako binafsi kama Makonda.
Hakika ungesema uko kwenye kampeni za kujijenga. Maana nilitegemea utueleze Hali ya elimu, siasa, afya, amani, utalii nakadhalika vikoje. Naona saa nzima imeenda maswali na maelezo yote ni mambo binafsi.
Washauri wako wamekuangusha sana.
Hiyo no perception yakoKikao cha kimkakati maswali ya kimkakati na majibu ya kimkakati. Wale wote Waandaaji Waendeshaji na Wauliza maswali walipangwa.
You got it right!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Na kuna mtu pia amemwambia afanye hivyo. Lazima kuna jambo ameahidiwa huyo.Nafuatilia mkutano wako ITV kwa wananchi uliouita ni Taarifa ya miezi 6 ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali mkoani Arusha.
Lakini ninachosikia kupitia kwa waandishi kina Zembela uliowaandaa, maswali mengi kuhusu Matendo Yako binafsi kama Makonda.
Hakika ungesema uko kwenye kampeni za kujijenga. Maana nilitegemea utueleze Hali ya elimu, siasa, afya, amani, utalii nakadhalika vikoje. Naona saa nzima imeenda maswali na maelezo yote ni mambo binafsi.
Washauri wako wamekuangusha sana.
Kaulizwa maswali yote sijaona swali la kupangwa, maswali yote tata kaulizwa. Labda ungesema alikua anajibu kwa kukwepaKikao cha kimkakati maswali ya kimkakati na majibu ya kimkakati. Wale wote Waandaaji Waendeshaji na Wauliza maswali walipangwa.