Makonda: Sio lazima niteuliwe, ninaweza kuwa Kiongozi wa familia

Makonda: Sio lazima niteuliwe, ninaweza kuwa Kiongozi wa familia

Mleta Uzi chuki itakufilisi mpaka boxer.

Yaani the way ulivoandika ni kama umekuja kumchafua zaidi

Hata kumpa hongera ya kuhitimu masomo umeanza na hilo la uongozi.

Kweli chawa wengi.
 
Hua natafakar sana juu ya hawa chadema napata jibu kua ni chama imara sana, haiwezekan kiwe vinywani mwa watu kila saa nashawishika kbs kua chadema gotta strength
The only strength they have is kubisha on everything. On that i agree with you, they gotta strength!
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Paulo Makonda ameibuka upya kwa kusema kuwa sio lazima apate uteuzi bali anaweza hata kuwa Kiongozi wa Familia.

Mheshimiwa Makonda kabla ya kuachia Ukuu wa Mkoa aligombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia CCM bila mafanikio.

MCL

Egotis. Aende akalime. We don't need him
 
Yeye si amestaafu huwa hawateuliwi vijana ni wengi yeye amesha zeeka ale pensheni tu na kufanya mazoezi!
 
Alipoenda na mabunduki clouds live live na kufanya sanaa ya kumteka Mo nilishangaa sana...alitangaza kuwa Mo kaonekana mara ghafra nae akaanza kumtafuta mpaka kutuletea still picture na kusema ni CCTV gari la mbongo alikua Nampula msumbiji huko daah watu wana dhambi hao hata hawaogopi na leo anataka tena arudi ili aendeleze utekaji mpaka Mo akaona isiwe tabu amteue kwenye bodi ya Simba..
 
Back
Top Bottom