PreGE2025 Makonda sio mwenyeji wa Arusha, ubunge anatafuta 'ulaji' na sio service

PreGE2025 Makonda sio mwenyeji wa Arusha, ubunge anatafuta 'ulaji' na sio service

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

gstar

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
825
Reaction score
1,519
Ubunge kwa maana halisi ya uwakilishi wa wananchi ni kwa yule mzawa ama mkazi wa muda mrefu wa eneo husika na sio aliyekwenda kwa ajili ya kutafuta fursa ya "ulaji".

Je Makonda ana asili ya Arusha? iweje kung'ang'ania Jimbo la Arusha alikopelekwa kwa kazi ya kiserikali ya ukuu wa mkoa? mpaka amenogewa anataka mpaka ubunge!

Wana Arusha amkeni.
 
Ubunge kama maana halisi ya uwakilishi wa wananchi ni kwa yule mzawa ama mkazi wa muda mrefu wa eneo husika na sio aliyekwenda kwa ajili ya kutafuta fursa ya "ulaji".

Je Makonda ana asili ya Arusha? iweje kung'ang'ania Jimbo la Arusha alikopelekwa kwa kazi ya kiserikali ya ukuu wa mkoa? mpaka amenogewa anataka mpaka ubunge!


Wana Arusha amkeni.
CCM Ubongo hawana
 
Back
Top Bottom