GE2025 Makonda: Sisi tunasaka dola, sio jukumu letu kujua tunashindana na nani?

GE2025 Makonda: Sisi tunasaka dola, sio jukumu letu kujua tunashindana na nani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
20251003_193259.jpg
 
Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda akiwa Mkoa wa Mwanza leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, kwa ajili ya kushiriki kampeni za Mgombea Urais wa CCM katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, ambazo zinatarajiwa kuanza rasmi kesho, Oktoba 7, 2025

Makonda amesema kwamba kuna watu hawajui tofauti ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Vyama vingine vya Siasa akieleza kuwa lengo la CCM ni kutafuta dola na siyo kujua wanashindana na nani



 
Ashukuru Mungu chadema hawajatia team uwanjani mwaka huu, kamwe asingetoboa ubunge A town!.
 
Chuga kutoka kuwa ngome ya upinzani hadi kuwa Lango la walanguzi.
Wadudu hamna kitu kabisaa.
 
Back
Top Bottom