Mgombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda akiwa Mkoa wa Mwanza leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, kwa ajili ya kushiriki kampeni za Mgombea Urais wa CCM katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, ambazo zinatarajiwa kuanza rasmi kesho, Oktoba 7, 2025
Makonda amesema kwamba kuna watu hawajui tofauti ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Vyama vingine vya Siasa akieleza kuwa lengo la CCM ni kutafuta dola na siyo kujua wanashindana na nani