Makonda: Sitaki kumuona Diwani masikini, Tafuteni Hela acheni majungu

Makonda: Sitaki kumuona Diwani masikini, Tafuteni Hela acheni majungu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda kwa Madiwani wa Mkoa wa Arusha.

"Huwa na waambia viongozi wangu wa hapa, sitaki diwani masikini’ hatutaki diwani masikini tafuteni hela hata tukija kuwagongea kuomba nauli ya kwenda hospitali Mount Meru muwe na hela za kutupa, huwezi kutoa kitu usichokuwa nacho. Sasa nyie kalieni majungu tu"
 
  • Kicheko
Reactions: rr4
Basi wawe wanagombea wenye hela tu,sheria zibadilishwe.
 
Aischeze na madiwani atarudi koromije bila kiungo cha kiume..
Asilimia kubwa ya madiwani hapa nchini kupitia ccm ni waganga wakienyeji na walozi mbalimbali.
 
Back
Top Bottom