Makonda: Stendi mpya Iringa ipewe jina la Chongolo

Nimeamini watanzania hatujitambui kabisa, hii ni aibu.
 
Puuzi tu kama yule alisema sura ya mtu kuwekwa kwenye noti.
Kwa hiyo wananchi wataneemeka kwa hilo!!
Poyoyo.
 
Yaani stendi ya IPOGOLO ibadilishwe iitwe jina la CHONGOLO? Kafanya kitu gani chenye matokeo Chanya kuzawadiwa kumbukumbu ya kiwanja?

Kumbukumbu ya jina la mtu aliye hai kupewa sehemu au miundo mbinu yoyote ni kumchuria huyo mtu. Stendi ya IPOGOLO haiwezi kubadilishwa jina na kupewa mtu ambaye wala hakushiriki kwa namna yoyote uanzishaji wake hata Msigwa alikataa kuitwa kwa jina lake ndio maana inatumia jina la eneo husika.
 
Akajenge stendi kijijini kwao na aiite Chongolo.
 
Cheap politics. Leo ni mwaka 2024 lakini utasema tuko miaka ya 1960's. Tuna safari ndefu sana kama hiki ndo chama tawala
Chama chama twawalaaa weeweee 😅.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…