IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Huna umaarufu huna pesa utachukuliwa hatuaMakonda mwenye anatakiwa kuchukuliwa hatua.
Umekasirika braza? Keshasema msemaji, una la kusema aseme tena?Huyu angeekaa kimya tu....hako ka cheo kajiona Mfalme teh teh....kila idara matamko aeende na magulioni
Kuna mwaka atataja Ben Saanane alimuweka wapiMwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini
Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi ya taifa tutalitolea Taarifa
Source: Ayo TV
CCM ni taasisi na Ina taratibu zake za kufuata. Niliishaisema humu. CCM sio Chadema maamuzi yanafanywa na Mbowe tu au ACT WAZALENDO maamuzi yanafanywa na Zitto tu.Huyu angeekaa kimya tu....hako ka cheo kajiona Mfalme teh teh....kila idara matamko aeende na magulioni
Emmanuel Gekul: Wachagga hata wakikosea wanateteanaKuna mwaka atataja Ben Saanane alimuweka wapi
Ameshindwa kutolea maelezo juu ya uhusika wake katika mauaji, kuteka na kutesa raia, atawezaje hili la mbunge?Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini
Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi ya taifa tutalitolea Taarifa
Source: Ayo TV
Ameliaibisha Taifa.yaani katima watanzania zaidi ya milioni 60, CCM wametafuta weee wakampata huyo mama kama ndio the best na kumpa ubunge na uwaziri..
. ChoiceVariable FaizaFoxy Pascal Mayalla kinachoitwa vetting huwa kinafanyikaje??yaani katima watanzania zaidi ya milioni 60, CCM wametafuta weee wakampata huyo mama kama ndio the best na kumpa ubunge na uwaziri..
Aahaaaaaa
Gekul ni MmbuluNilikuwa nafikiri tu kwa CAPITAL LETTERS!
Hivi, mchujo wa viongozi umetupa watu kama Gekul!
Pauline Gekul alikuwa waziri mdogo wizara ya Katiba na Sheria.
Watu kama Gekul, ambao si tu hawana maadili, lakini wamediriki kitendo usichoweza kuhadithia mbele ya watoto na mkweo!
Mwanamke kshiriki kumwingiza chupa makalioni mtoto anayeweza kumzaa mwenyewe.
Watu wa aina hiyo, Baraza la Mawaziri wanaweza kutupatia Katiba Mpya kweli?
Wallahi, hili butwaa la Karne.