Makonda: Suala la Pauline Gekul, CCM ina taratibu na kanuni zake kuanzia Ngazi ya Tawi, hivyo kama likifika Taifani tutalitolea taarifa

Makonda: Suala la Pauline Gekul, CCM ina taratibu na kanuni zake kuanzia Ngazi ya Tawi, hivyo kama likifika Taifani tutalitolea taarifa

Huyo Gekul naye sio mzima. Kwanini asijiuzulu tu regardless kama hizo kashfa ni za kweli au sio.
 
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini

Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi ya taifa tutalitolea Taarifa

Source: Ayo TV
Kuna mwaka atataja Ben Saanane alimuweka wapi
 
Huyu angeekaa kimya tu....hako ka cheo kajiona Mfalme teh teh....kila idara matamko aeende na magulioni
CCM ni taasisi na Ina taratibu zake za kufuata. Niliishaisema humu. CCM sio Chadema maamuzi yanafanywa na Mbowe tu au ACT WAZALENDO maamuzi yanafanywa na Zitto tu.
 
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini

Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi ya taifa tutalitolea Taarifa

Source: Ayo TV
Ameshindwa kutolea maelezo juu ya uhusika wake katika mauaji, kuteka na kutesa raia, atawezaje hili la mbunge?
 
Nilikuwa nafikiri tu kwa CAPITAL LETTERS!

Hivi, mchujo wa viongozi umetupa watu kama Gekul!

Pauline Gekul alikuwa waziri mdogo wizara ya Katiba na Sheria.

Watu kama Gekul, ambao si tu hawana maadili, lakini wamediriki kitendo usichoweza kuhadithia mbele ya watoto na mkweo! Mwanamke kshiriki kumwingiza chupa makalioni mtoto anayeweza kumzaa mwenyewe. (Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto)

Watu wa aina hiyo, Baraza la Mawaziri wanaweza kutupatia Katiba Mpya kweli?

Wallahi, hili butwaa la Karne.
 
yaani katima watanzania zaidi ya milioni 60, CCM wametafuta weee wakampata huyo mama kama ndio the best na kumpa ubunge na uwaziri..
 
Nimechoka nahitaji kupumzika huyu Mama anapigwa Vita km anavyopigwa Vita DAB
 
Nilikuwa nafikiri tu kwa CAPITAL LETTERS!
Hivi, mchujo wa viongozi umetupa watu kama Gekul!
Pauline Gekul alikuwa waziri mdogo wizara ya Katiba na Sheria.

Watu kama Gekul, ambao si tu hawana maadili, lakini wamediriki kitendo usichoweza kuhadithia mbele ya watoto na mkweo!
Mwanamke kshiriki kumwingiza chupa makalioni mtoto anayeweza kumzaa mwenyewe.

Watu wa aina hiyo, Baraza la Mawaziri wanaweza kutupatia Katiba Mpya kweli?

Wallahi, hili butwaa la Karne.
Gekul ni Mmbulu
 
Back
Top Bottom