Makonda tafadhali wana Arusha tunaomba mshawishi Mwamposa atuletee mkesha mkubwa na sisi na majirani zetu

Makonda tafadhali wana Arusha tunaomba mshawishi Mwamposa atuletee mkesha mkubwa na sisi na majirani zetu

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,944
Reaction score
2,032
Pole na majukumu ya kikazi mkuu wetu wa mkoa na hongera kwa kuendelea kuipigania Arusha. Ninaiomba tumia ushawishi wako baada ya mimi kuhushudia mkesha mkubwa ulofana sana kule Dar ninaomba mkesha ule uje na hapa kwetu Arusha kwani mkoa huu unahitaji sana upako wa namna ile.

Kuna roho mbalimbali zinazosumbua hapa kwanza ni ulevi ulopitiliza kwa vijana, magomvi yasio na tija yanaosababisha watu kupotezeana hadi maisha wakati mwengine, ninaomba ongea na mtumishi wa Mungu aje na huku pia maana mkoa wetu una mikesha mingi lakini mingi ni ya vijana kwenye kumbi za starehe. Nina imani upatapo taarifa hizi Mungu atakuongoza kuwasiliana na mtumishi, nakutakia kazi njema.
 
Back
Top Bottom