Makonda: Tumeahirisha ule mkopo wa Tsh Bilioni 20 kwa content creators

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Akizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,
Serikali imeahirisha utoaji wa mkopo wa Shilingi Bilioni 20 uliokusudiwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa maudhui (content creators), baada ya kubaini viwango vya riba kuwa vikubwa na vinavyoweza kuwa mzigo kwa walengwa.

Soma pia: Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)

Alisema awali mkopo huo ulitarajiwa kuanza kutolewa Aprili 18 mwaka huu, lakini uamuzi wa kuahirisha umefikiwa ili kuhakikisha unatekeleza kikamilifu maelekezo ya Rais.

“Lengo la Rais ni kuwawezesha vijana wanaohustle katika maisha yao ya kila siku. Hatuwezi kuweka riba kubwa na masharti ya dhamana (collateral) ambayo yatawazuia vijana wa hali ya chini kupata mkopo huu,” alisema Makonda

Matapeli hayo, hakuna hela ya kukopesha vijana, walikuwa wanatoa ahadi za uongo ili kupoza hasira ya vijana waliondamana baada ya uchaguzi. Hayo matapeli ndio yanajifanya yanataka kuleta maridhiano, na huenda kuna watu wakawaamini. Kama wangekuwa na hela ya kukopesha vijana wangeshatoa boom la wanafunzi. Ngoja chawa waandamizi waje kutetea hiyo futuhi.
ChoiceVariable Lucas Mwashambwa MamaSamia2025 Tlaatlaah
 
Kama kawaida yao wanakurupuka kwanza na baadae ndio akili zinakuja...pumbavu zao kabisa
 
Akizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,
Serikali imeahirisha utoaji wa mkopo wa Shilingi Bilioni 20 uliokusudiwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa maudhui (content creators), baada ya kubaini viwango vya riba kuwa vikubwa na vinavyoweza kuwa mzigo kwa walengwa.

Soma pia: Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)

Alisema awali mkopo huo ulitarajiwa kuanza kutolewa Aprili 18 mwaka huu, lakini uamuzi wa kuahirisha umefikiwa ili kuhakikisha unatekeleza kikamilifu maelekezo ya Rais.

“Lengo la Rais ni kuwawezesha vijana wanaohustle katika maisha yao ya kila siku. Hatuwezi kuweka riba kubwa na masharti ya dhamana (collateral) ambayo yatawazuia vijana wa hali ya chini kupata mkopo huu,” alisema Makonda

Akili zimejaa maji aha ha ah ah 😅 🤣
 
Matapeli hayo, hakuna hela ya kukopesha vijana, walikuwa wanatoa ahadi za uongo ili kupoza hasira ya vijana waliondamana baada ya uchaguzi. Hayo matapeli ndio yanajifanya yanataka kuleta maridhiano, na huenda kuna watu wakawaamini. Kama wangekuwa na hela ya kukopesha vijana wangeshatoa boom la wanafunzi. Ngoja chawa waandamizi waje kutetea hiyo futuhi.
ChoiceVariable Lucas Mwashambwa MamaSamia2025 Tlaatlaah
Sio Utapeli ni uamzi mzuri maana wahuni wangepita nazo.
 
Ila makonda alifikiri kazi ya uwaziri ni ya kuongea ongea hovyo bila uelekeo maalumu.
 
Sio Utapeli ni uamzi mzuri maana wahuni wangepita nazo.
Hamna hiyo hela, wangekuwa na hela wangetoa boom kwa wanafunzi maana ni vijana. Kama hela kweli ilikuwepo na wameona riba ndio kubwa, si wangepunguza tu kisha mikopo iendelee? Wametangaza tarehe ya uongo, tarehe imefika hela hawana ndio wanajifanya kuwa wamejali kuhusu ukubwa wa riba. Matapeli hayo.
 
Kwa pesa gani za kukopesha wakati hazina kumekauka na mikopo ya nje hakuna.
CCM wanacheza michezo ya toboa tobo.
 
Hii ndio CCM ninayo ijua mm.
Fisiem oyeeeeee.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Matapeli hayo, hakuna hela ya kukopesha vijana, walikuwa wanatoa ahadi za uongo ili kupoza hasira ya vijana waliondamana baada ya uchaguzi. Hayo matapeli ndio yanajifanya yanataka kuleta maridhiano, na huenda kuna watu wakawaamini. Kama wangekuwa na hela ya kukopesha vijana wangeshatoa boom la wanafunzi. Ngoja chawa waandamizi waje kutetea hiyo futuhi.
ChoiceVariable Lucas Mwashambwa MamaSamia2025 Tlaatlaah
Gentleman,
we zubaa hadi ukose sifa ya ujana na kukosa fursa hiyo ya mikopo nafuu zaidi ya kukutoa kwenye unyonge wa kiuchumi na dimbwi la umaskini wa fikra na kiuchumi pia.

porojo na uzushi nonsense vitakuzidishia mihemko useless na umaskini wa kifikra mpaka uzeeke
 
Akizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,
Serikali imeahirisha utoaji wa mkopo wa Shilingi Bilioni 20 uliokusudiwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa maudhui (content creators), baada ya kubaini viwango vya riba kuwa vikubwa na vinavyoweza kuwa mzigo kwa walengwa.

Alisema awali mkopo huo ulitarajiwa kuanza kutolewa Aprili 18 mwaka huu, lakini uamuzi wa kuahirisha umefikiwa ili kuhakikisha unatekeleza kikamilifu maelekezo ya Rais.

“Lengo la Rais ni kuwawezesha vijana wanaohustle katika maisha yao ya kila siku. Hatuwezi kuweka riba kubwa na masharti ya dhamana (collateral) ambayo yatawazuia vijana wa hali ya chini kupata mkopo huu,” alisema Makonda
Waziri Makonda amefanya vyema kuahirisha kwanza mpango huo, ili kutimiza malengo ya mikopo hiyo kuwafikia walengwa wa hali ya chini.

Anatakiwa kwanza awasajili hao content creators na kuwapanga kwa makundi, wale wenye uwezo wa kuandaa andiko, wako registered na contents zao zinalipa, ndio wapewe mikopo ya riba na collateral

Wale wachanga kabisa, hawawezi kuandika andiko, hawana usajili popote, wengine hata account za Benki ni issue, hawa wapewe grant na sio mkopo, hiyo grant iwajengee uwezo, wakue na kuwa formalize ndipo sasa wakopeshwe.

Ila kiukweli sekta ya habari, Waziri tumempata!.

Mtu ni Waziri wetu wa habari, sekta ya habari iko hoi bin taaban, vyumba vya habari viko choka mbaya!, waandishi wengi ni vibarua hawana mikataba ya ajira, hawana mishahara, hawana pensheni, waandishi wakongwe tulio staafu, ukiondoa wale waliostaafu kutoka vyombo vya kueleweka ndio wenye afadhali, sisi wengine haswa ma freelancer kama mimi ni tunatilisha huruma!.

Sheria Mpya ya habari inataka waandishi wa habari wawe na bima ya maisha maana uandishi wa habari haswa uandishi wa investigative journalism ni kazi ya hatari!, matokeo yake media zetu hazina IJ kabisa!.

Sheria mpya inataka kuanzishwa mfuko wa kuwaendeleza waandishi wa habari. Mfuko huo haupo hivyo waandishi tunakuwa kama watoto yatima au machokoraa fulani!.

Waziri wetu tangu ameingia ni yeye na ma contents creators tuu ili wa create contents na kuzirusha watu wa trends.

Leo amepanua wigo wa ma contents creators, hata wasusi kusuka mitindo mikali ni contents!, ma miss wa fani ya mrembo ni ma content creators, wachoraji wa picha mbalimbali ni contents, wachora kanuni ni contents creators, inaonekana Waziri wetu hajaelezwa kuwa hata news is contents, sisi waandishi wa makala magazetini ni contents creators, production houses zinazozalisha vipindi vya radio, TV na online, ni contents creators!, yeye wote hawa hawaoni yuko bize na vijana, nashauri mambo ya vijana amwachie Mhe. Nanauka, yeye ajikite kwenye tasnia ya habari tuna matatizo lukuki!.

P
 
Akizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,
Serikali imeahirisha utoaji wa mkopo wa Shilingi Bilioni 20 uliokusudiwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa maudhui (content creators), baada ya kubaini viwango vya riba kuwa vikubwa na vinavyoweza kuwa mzigo kwa walengwa.

Soma pia: Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)

Alisema awali mkopo huo ulitarajiwa kuanza kutolewa Aprili 18 mwaka huu, lakini uamuzi wa kuahirisha umefikiwa ili kuhakikisha unatekeleza kikamilifu maelekezo ya Rais.

“Lengo la Rais ni kuwawezesha vijana wanaohustle katika maisha yao ya kila siku. Hatuwezi kuweka riba kubwa na masharti ya dhamana (collateral) ambayo yatawazuia vijana wa hali ya chini kupata mkopo huu,” alisema Makonda

Na bado , mlikiwa mnatakiwa bado ZILE bilioni 200 mshafeli
 
KAMA MNGEKUSANYA VIJANA KATIKA KILA MKOA NA KUWAFUNGULIA RANCH ZA NGOME . WAKAWA WANASAFIRISHA NJE TAIFA LINGEKUWA MBALI .MNABUNI MIRADI YA AJABU AJABU
 
Back
Top Bottom