Kama kawaida yao wanakurupuka kwanza na baadae ndio akili zinakuja...pumbavu zao kabisaAkizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,
Serikali imeahirisha utoaji wa mkopo wa Shilingi Bilioni 20 uliokusudiwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa maudhui (content creators), baada ya kubaini viwango vya riba kuwa vikubwa na vinavyoweza kuwa mzigo kwa walengwa.
Alisema awali mkopo huo ulitarajiwa kuanza kutolewa Aprili 18 mwaka huu, lakini uamuzi wa kuahirisha umefikiwa ili kuhakikisha unatekeleza kikamilifu maelekezo ya Rais.
“Lengo la Rais ni kuwawezesha vijana wanaohustle katika maisha yao ya kila siku. Hatuwezi kuweka riba kubwa na masharti ya dhamana (collateral) ambayo yatawazuia vijana wa hali ya chini kupata mkopo huu,” alisema Makonda
Akili zimejaa maji aha ha ah ah 😅 🤣Akizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,
Serikali imeahirisha utoaji wa mkopo wa Shilingi Bilioni 20 uliokusudiwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa maudhui (content creators), baada ya kubaini viwango vya riba kuwa vikubwa na vinavyoweza kuwa mzigo kwa walengwa.
Soma pia: Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)
Alisema awali mkopo huo ulitarajiwa kuanza kutolewa Aprili 18 mwaka huu, lakini uamuzi wa kuahirisha umefikiwa ili kuhakikisha unatekeleza kikamilifu maelekezo ya Rais.
“Lengo la Rais ni kuwawezesha vijana wanaohustle katika maisha yao ya kila siku. Hatuwezi kuweka riba kubwa na masharti ya dhamana (collateral) ambayo yatawazuia vijana wa hali ya chini kupata mkopo huu,” alisema Makonda
Sio Utapeli ni uamzi mzuri maana wahuni wangepita nazo.Matapeli hayo, hakuna hela ya kukopesha vijana, walikuwa wanatoa ahadi za uongo ili kupoza hasira ya vijana waliondamana baada ya uchaguzi. Hayo matapeli ndio yanajifanya yanataka kuleta maridhiano, na huenda kuna watu wakawaamini. Kama wangekuwa na hela ya kukopesha vijana wangeshatoa boom la wanafunzi. Ngoja chawa waandamizi waje kutetea hiyo futuhi.
ChoiceVariable Lucas Mwashambwa MamaSamia2025 Tlaatlaah
Ila makonda alifikiri kazi ya uwaziri ni ya kuongea ongea hovyo bila uelekeo maalumu.Akizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,
Serikali imeahirisha utoaji wa mkopo wa Shilingi Bilioni 20 uliokusudiwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa maudhui (content creators), baada ya kubaini viwango vya riba kuwa vikubwa na vinavyoweza kuwa mzigo kwa walengwa.
Soma pia: Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)
Alisema awali mkopo huo ulitarajiwa kuanza kutolewa Aprili 18 mwaka huu, lakini uamuzi wa kuahirisha umefikiwa ili kuhakikisha unatekeleza kikamilifu maelekezo ya Rais.
“Lengo la Rais ni kuwawezesha vijana wanaohustle katika maisha yao ya kila siku. Hatuwezi kuweka riba kubwa na masharti ya dhamana (collateral) ambayo yatawazuia vijana wa hali ya chini kupata mkopo huu,” alisema Makonda
Hamna hiyo hela, wangekuwa na hela wangetoa boom kwa wanafunzi maana ni vijana. Kama hela kweli ilikuwepo na wameona riba ndio kubwa, si wangepunguza tu kisha mikopo iendelee? Wametangaza tarehe ya uongo, tarehe imefika hela hawana ndio wanajifanya kuwa wamejali kuhusu ukubwa wa riba. Matapeli hayo.Sio Utapeli ni uamzi mzuri maana wahuni wangepita nazo.
Gentleman,Matapeli hayo, hakuna hela ya kukopesha vijana, walikuwa wanatoa ahadi za uongo ili kupoza hasira ya vijana waliondamana baada ya uchaguzi. Hayo matapeli ndio yanajifanya yanataka kuleta maridhiano, na huenda kuna watu wakawaamini. Kama wangekuwa na hela ya kukopesha vijana wangeshatoa boom la wanafunzi. Ngoja chawa waandamizi waje kutetea hiyo futuhi.
ChoiceVariable Lucas Mwashambwa MamaSamia2025 Tlaatlaah
Waziri Makonda amefanya vyema kuahirisha kwanza mpango huo, ili kutimiza malengo ya mikopo hiyo kuwafikia walengwa wa hali ya chini.Akizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,
Serikali imeahirisha utoaji wa mkopo wa Shilingi Bilioni 20 uliokusudiwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa maudhui (content creators), baada ya kubaini viwango vya riba kuwa vikubwa na vinavyoweza kuwa mzigo kwa walengwa.
Alisema awali mkopo huo ulitarajiwa kuanza kutolewa Aprili 18 mwaka huu, lakini uamuzi wa kuahirisha umefikiwa ili kuhakikisha unatekeleza kikamilifu maelekezo ya Rais.
“Lengo la Rais ni kuwawezesha vijana wanaohustle katika maisha yao ya kila siku. Hatuwezi kuweka riba kubwa na masharti ya dhamana (collateral) ambayo yatawazuia vijana wa hali ya chini kupata mkopo huu,” alisema Makonda
Na bado , mlikiwa mnatakiwa bado ZILE bilioni 200 mshafeliAkizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,
Serikali imeahirisha utoaji wa mkopo wa Shilingi Bilioni 20 uliokusudiwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa maudhui (content creators), baada ya kubaini viwango vya riba kuwa vikubwa na vinavyoweza kuwa mzigo kwa walengwa.
Soma pia: Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)
Alisema awali mkopo huo ulitarajiwa kuanza kutolewa Aprili 18 mwaka huu, lakini uamuzi wa kuahirisha umefikiwa ili kuhakikisha unatekeleza kikamilifu maelekezo ya Rais.
“Lengo la Rais ni kuwawezesha vijana wanaohustle katika maisha yao ya kila siku. Hatuwezi kuweka riba kubwa na masharti ya dhamana (collateral) ambayo yatawazuia vijana wa hali ya chini kupata mkopo huu,” alisema Makonda
KAMA MNGEKUSANYA VIJANA KATIKA KILA MKOA NA KUWAFUNGULIA RANCH ZA NGOME . WAKAWA WANASAFIRISHA NJE TAIFA LINGEKUWA MBALI .MNABUNI MIRADI YA AJABU AJABUAkizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,