TUNATAKA VITU VYA KU -EXPORT TANZANIA SIO VITU VYA KIPUUZI PUUZIWaziri Makonda amefanya vyema kuahirisha kwanza mpango huo, ili kutimiza malengo ya mikopo hiyo kuwafikia walengwa wa hali ya chini.
Anatakiwa kwanza awasajili hao content creators na kuwapanga kwa makundi, wale wenye uwezo wa kuandaa andiko, wako registered na contents zao zinalipa, ndio wapewe mikopo ya riba na collateral
Wale wachanga kabisa, hawawezi kuandika andiko, hawana usajili popote, wengine hata account za Benki ni issue, hawa wapewe grant na sio mkopo, hiyo grant iwajengee uwezo, wakue na kuwa formalize ndipo sasa wakopeshwe.
Ila kiukweli sekta ya habari, Waziri tumempata!.
Mtu ni Waziri wetu wa habari, sekta ya habari iko hoi bin taaban, vyumba vya habari viko choka mbaya!, waandishi wengi ni vibarua hawana mikataba ya ajira, hawana mishahara, hawana pensheni, waandishi wakongwe tulio staafu, ukiondoa wale waliostaafu kutoka vyombo vya kueleweka ndio wenye afadhali, sisi wengine haswa ma freelancer kama mimi ni tunatilisha huruma!.
Sheria Mpya ya habari inataka waandishi wa habari wawe na bima ya maisha maana uandishi wa habari haswa uandishi wa investigative journalism ni kazi ya hatari!, matokeo yake media zetu hazina IJ kabisa!.
Sheria mpya inataka kuanzishwa mfuko wa kuwaendeleza waandishi wa habari. Mfuko huo haupo hivyo waandishi tunakuwa kama watoto yatima au machokoraa fulani!.
Waziri wetu tangu ameingia ni yeye na ma contents creators tuu ili wa create contents na kuzirusha watu wa trends.
Leo amepanua wigo wa ma contents creators, hata wasusi kusuka mitindo mikali ni contents!, ma miss wa fani ya mrembo ni ma content creators, wachoraji wa picha mbalimbali ni contents, wachora kanuni ni contents creators, inaonekana Waziri wetu hajaelezwa kuwa hata news is contents, sisi waandishi wa makala magazetini ni contents creators, production houses zinazozalisha vipindi vya radio, TV na online, ni contents creators!, yeye wote hawa hawaoni yuko bize na vijana, nashauri mambo ya vijana amwachie Mhe. Nanauka, yeye ajikite kwenye tasnia ya habari tuna matatizo lukuki!.
P
Kwani hiki kinachofanyika humu jf ni nini? ,ni contents creation!. Kila muanzisha thread ni contents creator!JF nako kuna content creators?
Huo uongo wa hizo 20b, sijui na zile 200b ni utapeli wa wazi. Serekali inasema inataka kutoa 20b kwa content creators, huku hata boom iliyopaswa kutoka mwezi wa tatu kwa wanafunzi wa vyuo hawajatoa hadi muda huu. Zile 200b waliozosema walizitoa mwezi February bila kuwa kwenye bajeti, wamebadili lugha wanasema wameziingiza kwenye wizara za kisekta! Ajabu jana waziri kaomba 35.9b ya bajeti ya wizara yake na kuendeleza vijana. Paskali ww na umri wako huoni hapo ni utapeli kama ule wa 50m@kijiji?Waziri Makonda amefanya vyema kuahirisha kwanza mpango huo, ili kutimiza malengo ya mikopo hiyo kuwafikia walengwa wa hali ya chini.
Anatakiwa kwanza awasajili hao content creators na kuwapanga kwa makundi, wale wenye uwezo wa kuandaa andiko, wako registered na contents zao zinalipa, ndio wapewe mikopo ya riba na collateral
Wale wachanga kabisa, hawawezi kuandika andiko, hawana usajili popote, wengine hata account za Benki ni issue, hawa wapewe grant na sio mkopo, hiyo grant iwajengee uwezo, wakue na kuwa formalize ndipo sasa wakopeshwe.
Ila kiukweli sekta ya habari, Waziri tumempata!.
Mtu ni Waziri wetu wa habari, sekta ya habari iko hoi bin taaban, vyumba vya habari viko choka mbaya!, waandishi wengi ni vibarua hawana mikataba ya ajira, hawana mishahara, hawana pensheni, waandishi wakongwe tulio staafu, ukiondoa wale waliostaafu kutoka vyombo vya kueleweka ndio wenye afadhali, sisi wengine haswa ma freelancer kama mimi ni tunatilisha huruma!.
Sheria Mpya ya habari inataka waandishi wa habari wawe na bima ya maisha maana uandishi wa habari haswa uandishi wa investigative journalism ni kazi ya hatari!, matokeo yake media zetu hazina IJ kabisa!.
Sheria mpya inataka kuanzishwa mfuko wa kuwaendeleza waandishi wa habari. Mfuko huo haupo hivyo waandishi tunakuwa kama watoto yatima au machokoraa fulani!.
Waziri wetu tangu ameingia ni yeye na ma contents creators tuu ili wa create contents na kuzirusha watu wa trends.
Leo amepanua wigo wa ma contents creators, hata wasusi kusuka mitindo mikali ni contents!, ma miss wa fani ya mrembo ni ma content creators, wachoraji wa picha mbalimbali ni contents, wachora kanuni ni contents creators, inaonekana Waziri wetu hajaelezwa kuwa hata news is contents, sisi waandishi wa makala magazetini ni contents creators, production houses zinazozalisha vipindi vya radio, TV na online, ni contents creators!, yeye wote hawa hawaoni yuko bize na vijana, nashauri mambo ya vijana amwachie Mhe. Nanauka, yeye ajikite kwenye tasnia ya habari tuna matatizo lukuki!.
P
Matapeli wakubwa, mtawaokota wasiojua uongo wenu. Ukweli ni kuwa serekali haina hela. Ngoja tuwaamshe wanafunzi Wadai boom kama hamjapagawa.Gentleman,
we zubaa hadi ukose sifa ya ujana na kukosa fursa hiyo ya mikopo nafuu zaidi ya kukutoa kwenye unyonge wa kiuchumi na dimbwi la umaskini wa fikra na kiuchumi pia.
porojo na uzushi nonsense vitakuzidishia mihemko useless na umaskini wa kifikra mpaka uzeeke
gentleman,Matapeli wakubwa, mtawaokota wasiojua uongo wenu. Ukweli ni kuwa serekali haina hela. Ngoja tuwaamshe wanafunzi Wadai boom kama hamjapagawa.
Wajinga ndio waliwao.gentleman,
fursa bwerere za mikopo ya vijana katika kila halmashauri inakusubiri wewe na vijana wenzako.
we shupaza shingo kwa kung'ang'anania umaskini na porojo JF
na mtaliwa sana kwa kuchangishwa pesa kindezindezi tu na wajanja kwenye vibakuliWajinga ndio waliwao.
Kama kuna mtu aliyeamini kuna mikopo, anapoteza muda wake. Huyu mhuni Makonda kuna kitu alichosema kikatimizwa? Eti huyu ni mbunge, nani amemchagua?Akizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda,
Serikali imeahirisha utoaji wa mkopo wa Shilingi Bilioni 20 uliokusudiwa kwa vijana wanaojishughulisha na utengenezaji wa maudhui (content creators), baada ya kubaini viwango vya riba kuwa vikubwa na vinavyoweza kuwa mzigo kwa walengwa.
Soma pia: Makonda: Rais Samia ametoa Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya Watengeneza maudhui Mtandaoni (Content Creators)
Alisema awali mkopo huo ulitarajiwa kuanza kutolewa Aprili 18 mwaka huu, lakini uamuzi wa kuahirisha umefikiwa ili kuhakikisha unatekeleza kikamilifu maelekezo ya Rais.
“Lengo la Rais ni kuwawezesha vijana wanaohustle katika maisha yao ya kila siku. Hatuwezi kuweka riba kubwa na masharti ya dhamana (collateral) ambayo yatawazuia vijana wa hali ya chini kupata mkopo huu,” alisema Makonda