F.S
Member
- Sep 5, 2014
- 34
- 26
Habari wakuu.
Mh. Makonda ujapo Arusha kuanza kazi rasmi tunaomba uanze na tatu mzuka. Hawa vijana wameharibu sifa ya mkoa wa Arusha. Mitaa ya uwanja wa ndege mpaka kisongo hakufai wanakupiga tukio mpaka mchana kweupe. Tafadhali sana nusuru sifa njema ya mkoa huu.
Nawasilisha.
Asante