Gambo ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzia na usalama?Kwa hiyo Gambo kawashindwa? Duh!
Gambo alikuwa RC Arusha.Gambo ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzia na usalama?
Umeshaambiwa alikuwa ni RC. Bado kama mbunge ana nafasi ya kuona huo uhalifu unadhibitiwaGambo ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzia na usalama?
Wadudu ndiyo vitu gani?Habari wakuu.
Mh. Makonda ujapo Arusha kuanza kazi rasmi tunaomba uanze na tatu mzuka. Hawa vijana wameharibu sifa ya mkoa wa Arusha. Mitaa ya uwanja wa ndege mpaka kisongo hakufai wanakupiga tukio mpaka mchana kweupe. Tafadhali sana nusuru sifa njema ya mkoa huu.
Nawasilisha.
Asante
Sana love. Wajiandae