Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka viongozi wa kisiasa hususan wabunge kutojisikia vibaya pindi watu wengine watakapoingia kwenye nafasi zao, kwani ni jambo la kawaida.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka viongozi wa kisiasa hususan wabunge kutojisikia vibaya pindi watu wengine watakapoingia kwenye nafasi zao, kwani ni jambo la kawaida. View attachment 3322766