Makonda usipitilize unafiki, omboleza kivyako halafu nenda zako

Una uhakika alisingiziwa?!,je dna ilipimwa ikatoa majibu gn?!, na kama alikataa kupima,kwa nini alikataa,au aliigopa nini?, acheni chuki zenu na unafki wenu.
Hivi ulifuatilia ile ishu hadi mwisho?

Hukuona baadae yule dada aliomba radhi?

Yaani we na akili yako usumbue watu na heshima zao kwa ujinga wa Bashite? Yaani ulitaka Lowasa acheze mziki wa Bashite? We Fala kweli asee, kukataa kupima ilikuwa sawa kabisa.

Jinga lile li bashite unadhani lingeshindwa kuwafata mkemia waserekali na kimemo toka kwa jiwe kuwa waseme majibu ya DNA ni positive?
 
in politics there is no permanent enemy 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Naona una matatizo ya akili, anayekutukana ni yule tunayemsikia na kumuona. Mtu akitumwa kukulawiti na akakulawiti huwezi kusema hana kosa bali ni kosa la aliyemtuma
UMEEEEERREWAAAA?
 
Yaani wewe ndo punga kabisa, mleta mada amemsema makonda sababu makonda mwenyewe amekuwa na kiherehere cha kusema watu. Hao wengine umewasikia wakisema nini?!!!! Usiwe kubwa jinga basi.
 
kwa hiyo makonda ndiye aliyesambaza picha mitandaoni kwamba lowasa kajinyea? makonda ndiye aliyemsukuma mpaka lowasa akajiuzulu uwaziri mkuu kwa sababu ya richmond? makonda ndiye aliyekata jina la lowasa huko nec ? I mean mko sooo petty na ndiyo maana hamuendi popote, makonda anatumwa na kutumika tu hata kesho atamgeukia samia pia, sasa kama hata mnashindwa kuliona hilo then mna tatizo kubwa …
 
Yaani wewe ndo punga kabisa, mleta mada amemsema makonda sababu makonda mwenyewe amekuwa na kiherehere cha kusema watu. Hao wengine umewasikia wakisema nini?!!!! Usiwe kubwa jinga basi.
Watu wana matatizo!
 
aulo Makonda akamuita mwanamke huyo katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, mbele ya waandishi wa habari, akijitambulisha kama mtoto wa kike aliyetelekezwa na Edward Lowassa.
Huyu mtu amefanya UOVU mwingi sana katika jamii!
Uovu aliofanya nahisi ni shetani tu anauweza!
 
Kwa dunia ilipo kwa sasa, sitoshangaa chochote, Makonda yuko okay pia ENL pia yuko okay

Pia, kuzaa mtoto hakutegemei kufanya ngono mara nyingi sana, hata ukiwa umekunywa wine ukafanya siku hiyohiyo tena kwa bahati mbaya, utazaa

Sitoshangaa kwa kiongozi yeyote kuwa na mtoto nje ya ndoa yake hasa nyama zinapotumika sana kwenye hafla zao
 
Una uhakika alisingiziwa?!,je dna ilipimwa ikatoa majibu gn?!, na kama alikataa kupima,kwa nini alikataa,au aliigopa nini?, acheni chuki zenu na unafki wenu.
Kukataa kupimwa kwa serikali hii wala sishangai..!! Unakumbuka Lisu naye alikataa kupimwa mkojo?? Unajua sababu?
 
We walimu waliokufundisha walipata tabu sana. Kwaheri
 
Aisee. Sijui hata kama ana uwezo wa kukumbuka.
Autoe wapi huo uwezo,unadhani angekuwa na huo uwezo angeongea hizo pumba alizoongea hapo msibani? Akili na kumbukumbu zote zimekimbilia kwenye masaburi yake.
 
Huna tofauti na Bashite
 
Leo Paulo Makonda nyumbani kwa Edward Lowassa, Masaki, Dar es Salaam, anasema kuna watu walimchafua Edward Lowassa na leo wanampongeza na kumsifia Lowassa. Bashite ni TAPELI wa kisiasa.

Masopakyindi, ninyi CCM wote ni matapeli ya kisiasa tu, msimcheke wala kumnanga mwenzenu Paul...

Paul alitumika, na anaendelea kutumika na wapo wanaomtumia na wapo CCM...
 
Masopakyindi, ninyi CCM wote ni matapeli ya kisiasa tu, msimcheke wala kumnanga mwenzenu Paul...

Paul alitumika, na anaendelea kutumika na wapo wanaomtumia na wapo CCM...
Mtu kutumika kiunafiki kama anavyofanya Makonda ,inakera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…