Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ni wehuHatufungamani na upande wowote lakini tunashindwa kununua mafuta Urusi sisi ni nani?
sisi ni wajinga
Na majadiliano ya nauli yalikuwa kwasababu ya bei ya mafuta iliyoanza leo au baada ya kupanda ile mara ya kwanza?Huna akili, watapandisha vipi wakati walikubali nauli ipande siku ya 14
Na majadiliano ya nauli yalikuwa kwasababu ya bei ya mafuta iliyoanza leo au baada ya kupanda ile mara ya kwanza?
Kama majadiliano yalikuwa kwasababu ya kupanda mafuta mwenzi Machi -Aprili huoni hapo kuna haja ya nauli kupanda kwa dharura kutokana na kupanda bei ya mafuta kwa dharura?