econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Feb 10, 2024 #21 Kilichonifurahisha ni kwamba Makonda kamficha Lukuvi na pia ziara zake zinaonesha serikali ilivyochoka
Kilichonifurahisha ni kwamba Makonda kamficha Lukuvi na pia ziara zake zinaonesha serikali ilivyochoka
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 6,290 Reaction score 8,600 Feb 10, 2024 #22 Isanga family said: Nchi ina watu wa hovyo hovyo sana hii ndio maana wanaamua kufanya chochote.. Click to expand... Sasa kama nmechangia pesa wangu kwa nn nisipandishe vitu bei ninayotaka Au naficha sukar na msinifanye chochote Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Isanga family said: Nchi ina watu wa hovyo hovyo sana hii ndio maana wanaamua kufanya chochote.. Click to expand... Sasa kama nmechangia pesa wangu kwa nn nisipandishe vitu bei ninayotaka Au naficha sukar na msinifanye chochote Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Feb 10, 2024 #23 mbarika said: Sasa kama nmechangia pesa wangu kwa nn nisipandishe vitu bei ninayotaka Au naficha sukar na msinifanye chochote Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Viwanda vinaambiwa kiwango cha kuzalisha ili baadae wapewe wahuni vibali vya kuleta sukari...
mbarika said: Sasa kama nmechangia pesa wangu kwa nn nisipandishe vitu bei ninayotaka Au naficha sukar na msinifanye chochote Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app Click to expand... Viwanda vinaambiwa kiwango cha kuzalisha ili baadae wapewe wahuni vibali vya kuleta sukari...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 10, 2024 #24 Huao ndiyo ukweli... Cc: Mahondaw