Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee! Hatari sana kipindi cha mwisho wanafunga hesabu!
Tunapaswa kuanza nayeVIP wanaoiba Kodi zetu kupitia matumizi mabaya ya Kodi zetu lini tuanze washushia kipondo
Mali alizonazo haziendani na anacholipwa Kama mtumishi.Watueleze wamefanya biashara gani.Tunatapaswa kuanza naye
Jr[emoji769]
Kuna siku atazitapikaMali alizonazo haziendani na anacholipwa Kama mtumishi.Watueleze wamefanya biashara gani.
Kodi ipi imebiwaVIP wanaoiba Kodi zetu kupitia matumizi mabaya ya Kodi zetu lini tuanze washushia kipondo