pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Ni kweli wizi wa vifaa vya gari unakera sana. Yaani mwizi anaiba taa ya shilingi 50,000 anaenda kuuza 3,000 halafu wewe mwenyewe unaenda kuuziwa hicho hicho kwa 40,000.
Kwa hiyo wa kukamata ni hawa wauzaji wa mwisho hawa ndio wanahamasisha vibaka hawa halafu wanawanyonya sana
Kwa hiyo wa kukamata ni hawa wauzaji wa mwisho hawa ndio wanahamasisha vibaka hawa halafu wanawanyonya sana