pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Jela za Africa ni sawa na jehanum labda uwe na pesa ndo utapunga upepo,pesa yako ndo itakufanyia kaziDawa ya mwizi akikamatwa mnampeleka mbinguni kwa baba muumba.
Ukimpeleka Polisi ndo nyumbani,jela bustani anaenda kupunga upepo.
Wewe ndo unaona jahanm ila kibaka kule ni kwao. anaenda kuwatembelea washkaji zake,na hakai sana anatoka anakuja tena kupora,sasa si bora apelekwe kumlaki bwana mawinguni.Jela za Africa ni sawa na jehanum labda uwe na pesa ndo utapunga upepo,pesa yako ndo itakufanyia kazi
Sema jela kuzuri ukiwa na mtaji ukosi miundombinu ya kufa njaaWewe ndo unaona jahanm ila kibaka kule ni kwao. anaenda kuwatembelea washkaji zake,na hakai sana anatoka anakuja tena kupora,sasa si bora apelekwe kumlaki bwana mawinguni.
Kwenye mshahara nadhani,maana siyo mfanyabiashara.Utashangaa hip milioni kumi kumi,Mara tano, Mara mia kabisa ni kawaida tu.Bado kajenga mijengo,anaendesha zaidi ya gari moja ambazo zote plate namba ni RC DSM zona thamani kubwa kubwa zinatoka wapi?Ni magari ya serikali?Hivi zile ml.10 anazowapa wachezaji huwa zinatoka wapi?
Biashara ya siasa.Mali alizonazo haziendani na anacholipwa Kama mtumishi.Watueleze wamefanya biashara gani.