Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Dadeki!! Hili ni tatizo mtu anapokea laki moja anakatwa na asilimia 40!! Huu ni upuuzi tuuzeni na nchi tugawane hela
Hiyo sheria ikipitishwa nitaachana na mume wangu tubakie kuwa mahawara.
HahahaaAanze kupimwa akili kabla ya mkojo
Upo sahihi mkuu wa mkoa wanaume pesa zao zinaishia kwa mchepuko na bar nakuwasahau wake na watoto wanateseka majumbani.
Na ndio uhalisia, weng mtafanya hvyoHiyo sheria ikipitishwa nitaachana na mume wangu tubakie kuwa mahawara.
Sasa huyu ni wa kumpatisha fresh nani?
π π π π πHii naona hainihusu,na kwa wale wa baba wa nyumbani nao itakuwaje?
Uislamu unafundisha jinsi ya kuishi na wake awe mmoja au wawili au watatu au wanne ni mtu mwenyewe kufuata au kuacha kufuata. Mume ndio msimamizi wa wakeWale Waislamu wenzetu waajiriwa wenye wake 3 wakatwe 120%, hiyo 20% iwe mkopo. Hii itasaidia kila mke apate hiyo 40%. Mshahara ni mdogo sana kuwapa 40% wagawane.