Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Muwe vichaa kisa jambo dogo hilo!! Kwani mnawezaje kuhudumia michepuko, bar nk na bado mkafanya hayo mengine uliyoorodhesha? Mbona mnakuza mambo ilihali hili linawezekana kabisa.Vipi, mtu akitoa hiyo asilimia bado tena utegemee atoa matumizi, matibabu ya family, atahudumiaje wazazi wake, bado ukweni kukipata majanga still mwanaume aombwe msaada.
Mtafanya wanaume tuchanganyikiwe, mtafanya ndoa iwe kama ajira sasa na watu wabweteke.
So mlinzi anaekomaa anapata mshahara wa Laki moja. Anatoa elfu 40, anampa bebe anabaki na 60, bado aigawe hiyo.
Mtaongeza rate ya watu kuwa ma senior bachelor, au idadi ya vichaaaa,