Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Hawezi peleka mswaada wa kuomba serikal iongeze iyo asilimia 40 ili wapewe wake wa watumish.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mbona hukumuoa mama yako? Nae si ni mwanamke?
Haki sawa ila majukumu sio sawa, ungekuwa mwanaume ungelielewa hilo.Mpewe hela ya nini na wakati mnasema haki sawa?
Kwanini msi-fight na nyie muwe na mshahara wenu?
Hata angesema 2 bado agizo hilo lisinge tekelezwa
Unaijua maana ya Sukah? Waulize waliosoma Urusi, maana ya suka ni Malaya aliekubuhuNakumbuka ya FARASI MZUUURI AKIENDESHWA NA NYANI.
SUKAH
Wale Waislamu wenzetu waajiriwa wenye wake 3 wakatwe 120%, hiyo 20% iwe mkopo. Hii itasaidia kila mke apate hiyo 40%. Mshahara ni mdogo sana kuwapa 40% wagawane.
Kwani kila mwanaume ana michepuko?Muwe vichaa kisa jambo dogo hilo!! Kwani mnawezaje kuhudumia michepuko,bar nk na bado mkafanya hayo mengine uloorodhesha? Mbona mnakuza mambo ilihali hili linawezekana kabisa.
Wanaume wa Dasilamu wamepatikana.Ndiyo sababu nilihama Dasilamu.
😆😆😆😆😆Hiyo sheria ikipitishwa nitaachana na mume wangu tubakie kuwa mahawara.
😀😀😀Tena 40 ni ndogo sana inabidi iwe 60 kabisa.
Wanaume wa Dasilamu wamepatikana.
Mafuriko,harufu za uvundo,Makonda,Joto,Mbu,Foleni nk vyote vyao.
Kwani kila mwanaume ana michepuko?
Elimu na akili ni jambo la muhimu sanaBado wanataka 50 kwa 50,wanawake kuweni makini sana na hawa wanasiasa msifikiri kila linalosemwa kutoka midomoni mwao ni kwa nia njema ama kuwatetea
Leo mnakataa? Si nyie ndio huwa mnasema hivyo. Unless mseme mmeamua kuzikana lauli na nafsi zenu.Kwani kila mwanaume ana michepuko?
Wanaishi maisha yenye stress sana,kutwa ni misukosuko..'ngufu' pendwa bila utulivu wa akili itatoka wapi!Usijisahaulishe ule uhaba wa ile ‘ngufu’ pendwa.
Ya warusi tuwaachie warusi kwanza, hapa ni sukah, au kama ni suka basi tumaanishe dereva, au kama wanavyotengeneza mitindo ya nywele na ukindu.Unaijua maana ya Sukah? Waulize waliosoma Urusi, maana ya suka ni Malaya aliekubuhu