Makonda: Wanaume wafanyakazi wakatwe asilimia 40 ya mishahara yao wapewe wake zao

Makonda: Wanaume wafanyakazi wakatwe asilimia 40 ya mishahara yao wapewe wake zao

Sasahuko anakotaka kwenda siko kabisaaaaa. Je kama mwanamke ndiye anafanya kazi, na mumewe ni mume wa nyumbani, je huyo mwanamke akatwa hichho kiasi cha 40% apewe mumewe?
 
Hivi anaijua 40%
Au kama kawaida yake tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mpewe hela ya nini na wakati mnasema haki sawa?

Kwanini msi-fight na nyie muwe na mshahara wenu?

Hata angesema 2 bado agizo hilo lisinge tekelezwa
Haki sawa ila majukumu sio sawa, ungekuwa mwanaume ungelielewa hilo.
Vipi nawe unataka hiyo haki sawa uloongelea hapo?
 
Bado wanataka 50 kwa 50,wanawake kuweni makini sana na hawa wanasiasa msifikiri kila linalosemwa kutoka midomoni mwao ni kwa nia njema ama kuwatetea
Wale Waislamu wenzetu waajiriwa wenye wake 3 wakatwe 120%, hiyo 20% iwe mkopo. Hii itasaidia kila mke apate hiyo 40%. Mshahara ni mdogo sana kuwapa 40% wagawane.
 
Muwe vichaa kisa jambo dogo hilo!! Kwani mnawezaje kuhudumia michepuko,bar nk na bado mkafanya hayo mengine uloorodhesha? Mbona mnakuza mambo ilihali hili linawezekana kabisa.
Kwani kila mwanaume ana michepuko?
 
Kwani kila mwanaume ana michepuko?
Leo mnakataa? Si nyie ndio huwa mnasema hivyo. Unless mseme mmeamua kuzikana lauli na nafsi zenu.

Na kama hauna shida iko wapi sasa, si ndio mambo yanakuwa rahisi zaidi!!!
 
Unaijua maana ya Sukah? Waulize waliosoma Urusi, maana ya suka ni Malaya aliekubuhu
Ya warusi tuwaachie warusi kwanza, hapa ni sukah, au kama ni suka basi tumaanishe dereva, au kama wanavyotengeneza mitindo ya nywele na ukindu.

SUKAH
 
Yaaaaan wanaume kwa RC huyu watakoma Hadi mikia yao ilegeeeh, lol Kama nawaona wanavohangaika na hili tamko Tena angesema 60 kabisaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiih

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom