Kipepeo cheusi
Member
- Mar 23, 2019
- 14
- 12
Utakufa ukiwa na akili BikiraNa mbowe awalipe wachezaji hata kidogo ,maana yeye kutwa kujidai ni tajiri lakini hatumuoni kwenye harambee yoyote
Daah kweli kukosa jogoo ni tatizoNa mbowe awalipe wachezaji hata kidogo ,maana yeye kutwa kujidai ni tajiri lakini hatumuoni kwenye harambee yoyote
Mjini kisomo baba...Inasikitisha mpaka sasa bado hujawapa hiyo pesa wachezaji ambayo uliahidi kwa mbwembwe.
Fanya kuwapa ili kuinua morali yao kuelekea kwenye michuano ya afcon
Ni hilo tu kwa sasa
Utakufa ukiwa na akili Bikira
Na mbowe awalipe wachezaji hata kidogo ,maana yeye kutwa kujidai ni tajiri lakini hatumuoni kwenye harambee yoyote
Kifutulism... acha kufikiri kwa makalio..Na mbowe awalipe wachezaji hata kidogo ,maana yeye kutwa kujidai ni tajiri lakini hatumuoni kwenye harambee yoyote
Brother unatuabisha CCM wenzio, jaribu kuandika mambo ya msingi...Na mbowe awalipe wachezaji hata kidogo ,maana yeye kutwa kujidai ni tajiri lakini hatumuoni kwenye harambee yoyote
Makonda alipe wachezaji milioni 10 zao wananung'unika sanaAcheni kumchonganisha RC wetu. Unajuaje maelewano yao na yeye. Pengine anaweza waalika kwenye futari Ijumaa halafu akawapa cheki zao pale pale. Alikuwa anahakiki majina yao tu msijali
Kwani Mbowe hela yake anaitegemea toka kwa Mengi. Baba yake Mbowe was a loaded man so aliachiwa Urithi mzuri tu. Hategemei pesa toka kwa MengiMengi amefariki pesa atatoa wapi?
Ushabiki maandazi unakuvunjia heshima na kuonyesha ubwege wa kiwango cha juu.Na mbowe awalipe wachezaji hata kidogo ,maana yeye kutwa kujidai ni tajiri lakini hatumuoni kwenye harambee yoyote
Nimesema, majina yanahakikiwa huenda kuna wachezaji hewaMakonda alipe wachezaji milioni 10 zao wananung'unika sana
Na mbowe awalipe wachezaji hata kidogo ,maana yeye kutwa kujidai ni tajiri lakini hatumuoni kwenye harambee yoyote