Makonda wape Wachezajinwa Taifa Stars Milioni 10 zao ulizowaahidi

Makonda wape Wachezajinwa Taifa Stars Milioni 10 zao ulizowaahidi

Joined
Mar 23, 2019
Posts
14
Reaction score
12
Inasikitisha mpaka sasa bado hujawapa hiyo pesa wachezaji ambayo uliahidi kwa mbwembwe.
Fanya kuwapa ili kuinua morali yao kuelekea kwenye michuano ya afcon
Ni hilo tu kwa sasa
 
Na mbowe awalipe wachezaji hata kidogo ,maana yeye kutwa kujidai ni tajiri lakini hatumuoni kwenye harambee yoyote
 
Acheni kumchonganisha RC wetu. Unajuaje maelewano yao na yeye. Pengine anaweza waalika kwenye futari Ijumaa halafu akawapa cheki zao pale pale. Alikuwa anahakiki majina yao tu msijali
 
Na mbowe awalipe wachezaji hata kidogo ,maana yeye kutwa kujidai ni tajiri lakini hatumuoni kwenye harambee yoyote
Ushabiki maandazi unakuvunjia heshima na kuonyesha ubwege wa kiwango cha juu.
Makonda aliahidi jambo hilo mbele ya kamera na timu ikatimiza makusudio yake, huoni ni jambo baya kiongozi wa serikali kusema UONGO kwa wachezaji wa timu ya taifa inayopigania sifa ya TZ?
Timu ya taifa ni zaidi ya hao kina Steve Nyerere, Wema au Diamond wanaodanganyana naye ujinga ujinga.
Halafu unakuja na upuuzi sijui Mbowe sijui kwi kwikwi!
Tumia akili yako vizuri kama unayo
 
Back
Top Bottom