Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema wapenzi (couple) itakayopendeza kesho katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake itapewa zawadi maalumu.
Makonda ameyasema hayo leo Ijumaa Machi 7, 2025 alipokuwa akikagua eneo ambalo nyama choma italiwa bure kwa wakazi wa Arusha kuelekea maadhimisho hayo, ambayo kitaifa yanafanyika jijini humo.
Pia, Makonda amesema mgeni rasmi wa siku hiyo atakuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.