Pre GE2025 Makonda: Wezi na Mafisadi Wana Umoja Sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kati ya wenye pesa na maskini wapi wanatakiwa kulindwa Kwa maslahi ya Nchi?
 
Kati ya wenye pesa na maskini wapi wanatakiwa kulindwa Kwa maslahi ya Nchi?
Kwa hapa Duniani na kwa mambo yenye kuishia tu Duniani, yalindwe yenye fedha na viongozi aina ileile ya waovu wasio na tumaini la baada ya maisha ya dunia

Ila kwa ushauri wangu, Haki ndio iwe kipaombele
 
Kwa hapa Duniani na kwa mambo yenye kuishia tu Duniani, yalindwe yenye fedha na viongozi aina ileile ya waovu wadio na tumaini la baada ya maisha ya dunia
Baada ya maisha ya Duniani ukifa Kuna maisha mengine wapi? 😁😁😁

Mbona Watu kama Makonda Wana kashfa za uovu au Kuna uovu gani unausemea wewe? 😆😆
 
Baada ya maisha ya Duniani ukifa Kuna maisha mengine wapi? 😁😁😁

Mbona Watu kama Makonda Wana kashfa za uovu au Kuna uovu gani unausemea wewe? 😆😆
Ufalume mmoja hauwezi kufitinika

Sina ushahidi wowote na sina nafasi ya kuhukumu kwa sababu sina ushahidi
 
Baada ya maisha ya Duniani ukifa Kuna maisha mengine wapi? 😁😁😁

Mbona Watu kama Makonda Wana kashfa za uovu au Kuna uovu gani unausemea wewe? 😆😆
Zaburi 90:4
Maana miaka elfu machoni pako
Ni kama siku ya jana ikiisha kupita,
Na kama kesha la usiku.

Chukua umri wote wa Dunia tangu kuwepo na kisha uzigawe hizo miaka kwa usiku mmoja ambao kwa Mungu ni sawa na miaka elfu moja, uone jinsi wewe miaka yako hamsini unayojidai umeishi siku nyingi, kumbe katika siku za Kiungu una sekunde moja tu ya miaka yako yote hapa Duniani na uone ubishi wako usivyo namaana mkuu
 

Huyu zero brain albert bashite ni mwizi namba moja anajulikana pamoja na jamaa wake sabaya
 
We ni chizi
 
Kumbe UWT na THRC wanahusika kwenye uovu huu!
 
Yeye ndo jizi na fisadi. Serikali ingekuwa serious kwenye kuchunguza mali na pesa za wateule wa rais bashite angeenda jela. Akiwa RC wa Dar alikuwa anatembelea range rover na Nissan patrol Phantom V8 achilia mbali mgogoro wa nyumba ya GSM. Pesa alitoa wapi za kumiliki jumba kama lile alilonyang'anywa na GSM kama sio mwizi na fisadi?
 
CCM mmekosa watu wa kituongoza hadi mnatupa huyu mtu.

Uongozi ni mpaka kumdhakikisha mtu kiasi hicho.

Style ya hovyo kabisa ya uongozi.
 
Kwa hiyo wananchi wangoje Mahakama baada ya miaka 20 hukumu itoke
Si Utakuwa umekufa?
Hii Network Ni kubwa Sana
 
Alichokifanya Makonda kwa yule dada wa watu ni udhalilishaji. Na bahati mbaya hajaanza leo wala jana. Kimsingi hakuwa na sababu ya kuongea yale maneno yake ya kejeli. Maanq hayana uhusiano wowote ule na huo ufisadi, uzembe, nk.
Makonda ni mjinga sana,hataki kukosolewa,anahamisha magoli, ishu ni yeye kudhalilisha watumishi wa serikali lakini anageuza maneno isomeke kuwa anasakamwa kwa kushughulikia kero za wananchi.
 
Bomayeeee Konda boy kanyaga hizi chawa za wezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…