Pre GE2025 Makonda: Yetote mwenye sifa atasimamia uchaguzi

Pre GE2025 Makonda: Yetote mwenye sifa atasimamia uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141
 
Attachments

  • IMG_9668.jpeg
    IMG_9668.jpeg
    88.2 KB · Views: 12
Safi kabisa comredi Makonda, tunataka maamuzi kama haya, upinzani watatuchelewesha kuiona kanani
 
“Wanasema wakurugenzi wasisimamie uchaguzi. Sisi tunasema Mtanzania mwenye sifa Tume itampa nafasi ya kusimamia uchaguzi.” – Paul Makonda, Katibu wa Halmashauri Kuu CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo

View attachment 2877387
Pumbafu! Eti yoyote mwenye sifa, sifa zipi? Mtu anayekiwa asimamie uchaguzi anatakiwa awe na sifa zipi?

Hatutaki mtu anasimamia uchaguzi awe mteule wa kiongozi ambaye nayeye anashiriki ktk uchaguzi huo
 
Niaibu kubwa kumsikiliza huyu mtu...

Niaibu zaidi kujua ndiyo hutoa mafunzo ya iyokadi mtu ambaye marekani wamemuita "Kila"

Niaibu ilopitiliza kuwa aliyemteuwa anahubiri haki na maridhiano eti 4R!!! It is a SHAME!!
 
Pumbafu! Eti yoyote mwenye sifa, sifa zipi? Mtu anayekiwa asimamie uchaguzi anatakiwa awe na sifa zipi?

Hatutaki mtu anasimamia uchaguzi awe mteule wa kiongozi ambaye nayeye anashiriki ktk uchaguzi huo

Makonda ni mjinga. Kwa nini anashindwa kuzitamka hizo sifa? Isije ikawa sifa kama za kwake, za kuwa muuaji na mporaji wa mali za watu.
 
Back
Top Bottom