Makonda yupo wapi?

Makonda yupo wapi?

Alionekana akipanda malori ya mchanga, bajaj, baiskeli, punda na hata ngamia huko kanda ya ziwa. Alichoacha kupanda ni fisi tu, je Makonda yupo wapi?

Jana Kikwete kasisitiza umuhimu wa serikali kuchukua ushauri katika maswala mbalimbali, nafikiri Kikwete alishaona mbinu za kisiasa za awamu hii zinatupeleka siko.

Hii mbinu Makonda kama ilivyo mbinu Biteko ni mbinu za kikabila na zilaaniwe! Kwanini CCM hamwezi kujiamini na kutafuta ushindi bila mbinu chafu?
Kwa Biteko bi kidude akichemka kwani sio msukuma og bali ni Mnyarwanda og
 
Alionekana akipanda malori ya mchanga, bajaj, baiskeli, punda na hata ngamia huko kanda ya ziwa. Alichoacha kupanda ni fisi tu, je Makonda yupo wapi?

Jana Kikwete kasisitiza umuhimu wa serikali kuchukua ushauri katika maswala mbalimbali, nafikiri Kikwete alishaona mbinu za kisiasa za awamu hii zinatupeleka siko.

Hii mbinu Makonda kama ilivyo mbinu Biteko ni mbinu za kikabila na zilaaniwe! Kwanini CCM hamwezi kujiamini na kutafuta ushindi bila mbinu chafu?
Wanawatoa kwanza kina Mpango, Majaliwa, Chongolo, Kinana alafu wanarudi kuwarubuni!🤣😂🤣
 
Chikwete jizi ...legacy ya magufuli ni lazima itashinda tu ...tunataka dictator mzalendo
 
Alionekana akipanda malori ya mchanga, bajaj, baiskeli, punda na hata ngamia huko kanda ya ziwa. Alichoacha kupanda ni fisi tu, je Makonda yupo wapi?

Jana Kikwete kasisitiza umuhimu wa serikali kuchukua ushauri katika maswala mbalimbali, nafikiri Kikwete alishaona mbinu za kisiasa za awamu hii zinatupeleka siko.

Hii mbinu Makonda kama ilivyo mbinu Biteko ni mbinu za kikabila na zilaaniwe! Kwanini CCM hamwezi kujiamini na kutafuta ushindi bila mbinu chafu?
LABDA ANATAFUTA MAMBA WA KUINGIA NAE JIJINI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Yule analea mtoto wa Kachina Dar. Jamaa huwa anafurahisha sana. Ana mbwembwe kweli, wenzie wanamdere tu.
Huwezi kufuga makalio makubwa halafu uwe na uwezo wa kutia mimba mwanamke. Unaishia kukamuliwa mbegu kisha zirutubishwe kwenye maabara
 
Alionekana akipanda malori ya mchanga, bajaj, baiskeli, punda na hata ngamia huko kanda ya ziwa. Alichoacha kupanda ni fisi tu, je Makonda yupo wapi?

Jana Kikwete kasisitiza umuhimu wa serikali kuchukua ushauri katika maswala mbalimbali, nafikiri Kikwete alishaona mbinu za kisiasa za awamu hii zinatupeleka siko.

Hii mbinu Makonda kama ilivyo mbinu Biteko ni mbinu za kikabila na zilaaniwe! Kwanini CCM hamwezi kujiamini na kutafuta ushindi bila mbinu chafu?
Yuko mloganzila kupunguza lile sambwanda
 
Hastarabiki, tatizo ni ushamba na kupenda sifa hekima ni sifuri.
 
Alionekana akipanda malori ya mchanga, bajaj, baiskeli, punda na hata ngamia huko kanda ya ziwa. Alichoacha kupanda ni fisi tu, je Makonda yupo wapi?

Jana Kikwete kasisitiza umuhimu wa serikali kuchukua ushauri katika maswala mbalimbali, nafikiri Kikwete alishaona mbinu za kisiasa za awamu hii zinatupeleka siko.

Hii mbinu Makonda kama ilivyo mbinu Biteko ni mbinu za kikabila na zilaaniwe! Kwanini CCM hamwezi kujiamini na kutafuta ushindi bila mbinu chafu?
Aidha Makonda aendelee kuwa juu ya viongozi wa CCM huku akidanganya anatoa maagizo toka kwenye vikao vya Chama, au Katibu na Makamu wajiuzulu wamachie Chama.
 
CCM imeshaanza kukosa watu wenye akili kama kipindi cha JK
 
Alionekana akipanda malori ya mchanga, bajaj, baiskeli, punda na hata ngamia huko kanda ya ziwa. Alichoacha kupanda ni fisi tu, je Makonda yupo wapi?

Jana Kikwete kasisitiza umuhimu wa serikali kuchukua ushauri katika maswala mbalimbali, nafikiri Kikwete alishaona mbinu za kisiasa za awamu hii zinatupeleka siko.

Hii mbinu Makonda kama ilivyo mbinu Biteko ni mbinu za kikabila na zilaaniwe! Kwanini CCM hamwezi kujiamini na kutafuta ushindi bila mbinu chafu?
Sasa kupanda punda malori farasi baiskeli kuna ubaya gani? Uchafu gani hapo kwenye kupanda huo usafiri? Mbona Mbowe anatumia helicopter hulalamiki, au kwa vile ni usafiri wa gharama ndo unaona siyo mbinu chafu?
Acha bashite aeneze CCM yao nawe kapande helicopter kueneza chadema ya Mbowe.
 
Wanawatoa kwanza kina Mpango, Majaliwa, Chongolo, Kinana alafu wanarudi kuwarubuni!🤣😂🤣
Mkuu Mfikirishi
1. Hao ambao wanaowatoa Mpango, Majaaliwa, Chongolo na Kinana ni akina nani hao?
2. Hao wanaowarubuni wenzao ni akina nani hao, watakaorubuniwa ni akina nani?

Shukurani mkuu.
 
Back
Top Bottom