sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Kwenye mambo ya msingi ukimtaja Kikwete umeondoa mantiki nzima ya ujumbe. Ni failure president aliyewahi kutokea duniani kuanzia kwenye chama hadi akatengwa na wanachama, kwenye nchi hadi akatengwa na wananchi, kwenye jumuiya ya afrika mashariki hadi akatengwa na kina Uhuru Kenyata na Kagame.
Kuna wakati alibaki na kina Nape, Kinana na familia yake tu.
Kwenye level za dunia alipatwa kuulizwa kwa nini nchi yake maskini akasema hata yeye hajui.
Kwa sasa ukiona Kikwete anaongea jaribu kufanya check & balance. Lazima kuna mahali maslahi yake yameguswa. Kwa sasa kaongea vile sababu ya uteuzi wa Makonda. Ni mwiba kwake na jamaa zake. Kwao ni tishio. Hata kama si kwa matendo ila kwa kauli nzito za Makonda.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app