Makonda ziara kwa viongozi wa dini zimezidi, huenda anaandaliwa kugombea Urais

Makonda ziara kwa viongozi wa dini zimezidi, huenda anaandaliwa kugombea Urais

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
1000006470.jpg
 
Sidhani Mkuu.

MAKONDA ANAFANYA KAZI YAKE YA UENEZI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Huyu makonda mnamchukulia poa ila kitakuja kuwaka nchi hii siku akiwa presidaa

Kumbuka nchi yetu inapenda sana marais wanaohemuka

Na jamaa mzuri sana kwenye hilo eneo. Anahemuka hasa hata pasipomtaka kuhemuka yeye anahemuka

Na jamii yetu inapenda hizi pigo

Ngoja tuone
 
MAKONDA ANAJISAFISHA KWA MAOVU YOTE ALIYOYATENDA NA SWAHIBA wake MAGUFULI ANASAHAU MSAMAHA lazima uwaombe kwanza uliowakosea sio kuomba Viongozi wa Dini Wakupe baraka zao

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Hata Mashoga Katoliki imeamuwa kuwapa Baraka!!
Sishangai Kwa Badhite kuwekewa mikono ya Baraka
Ndiyo Dunia inavyo elekeza Mwishoni
 
Damu za watu aliyowaua zinamlilia, hivyo muda mwingi anakosa amani. Kimbilio pekee ni kwa viongozi wa dini kutubu kwa mauaji. Mbwa huyu hawezi kuwa rais.
 
CCM ilipofikia hakuna anayemzidi Makonda kwa kukubalika ndani ya chama, Amini Maneno yangu

Makonda haitaji Keegan awe Chipukizi Kwani ana Watu wa kutisha Chamani 😂
Na huo ndiyo ukweli.
Kuna jamaa yangu nilimwambia live kuwa ,shida zetu za kifamilia kama ada,chakula n.k viongozi wetu hawazijui mpaka litokee tukio zitò na litre di kweli kwenye media ndiyo wataanza kushoboka.

Na sisi matatizo yao hayatuhusu wao waendelee tu kumchukia Makonda ila sisi hatuna bifu. Hayo matatizo yao na Makonda ni yao na familia zao wala sio ya kitaifa.

Kila mtu afuate mfumo wake sio kutulazimisha tumuone mtu fulani mbaya au mzuri.
 
Back
Top Bottom