Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Outside the boxThinking the impossibles
Si mpaka wafanye Ulaya na Asia; ndio mpate hekima ya kunakiri kule na kuipachika hapa Tanzania.bwege wewe
HaaaaahaaaaaMwenye kikubwa ataongezewa, mwenye kidogo atanyang'anywa hata hicho kidogo alichonacho! Bongo nyoso.
Kufanya miamala hakuwafanyi kuwa wahasibuHabari Tanzania !
Ujambo; NBAA, TRA na Wizara ya Fedha !.
Makondakta wa magari ni Maafisa Hesabu wanaofanya miamala ya fedha kwenye Daladala na Mabasi ndani na nje ya Mikoa; na nje ya Nchi ni wadau wenu nyinyi hasa NBAA, TRA na Wizara ya Fedha.
1. Naomba ikiwapendeza muwaunde kwenye "Database Sheet" ya Makondakta wote nchi nzima. Lengo hapa ni wawe walipa kodi wazuri tofauti na ilivyo sasa na pia wawe wanachama rasmi wa Bodi ya Uhasibu Tanzania (NBAA).
2. Napendekeza wapewe elimu fupi ya Uhasibu kwa malipo (Ukondakta Tozo) walau Tsh.20,000/= kwa Mwaka kwaajili ya kupewa mafunzo pamoja na kupata huduma za Uhasibu toka NBAA, Wizara ya Fedha na TRA.
3. Wapate Ajira za mikataba toka Sekta ya Usafirishaji kwani wao ni watu muhimu na wenye chachu kwenye mnyororo wa uchumi kwa wamiliki wa usafiri na nchi kwa ujumla.
4. Wasaidiwe kuunda Umoja wa Makondakta nchini ili wawe rasmi; yaani Sekta rasmi.
5. Iwe ni sharti kuu; hakuna Kondakta atakayefanya kazi ya Ukonda pasipo kuwa kwenye "Ukondakta Database" na pia lazima apate mafunzo ya Uhasibu. Hapa tutakuwa tumeongeza umakini kwenye Sekta hii.
Karibuni.
Mie tena na unywaji bia jamani....Umekunywa bia gani leo
Kiongozi kila mtu anapaswa hii nchi aitolee jasho kwa njia yoyote. Unajua Madereva wao tunawalima Leseni ya Udereva tunawatoza. Sasa hawa Makondakta wanalipa wapi wao?Nimeamini wewe ni "Tax Collector" kwelikweli....π€£π€£π€£
Na kwa kweli hawalipi popote....Kiongozi kila mtu anapaswa hii nchi aitolee jasho kwa njia yoyote. Unajua Madereva wao tunawalima Leseni ya Udereva tunawatoza. Sasa hawa Makondakta wanalipa wapi wao?
Kikubwa walipe kodi na waingizwe kwenye Database. Hatuwezi kuwa na wataalamu wanaundiwa Makundi huko alafu hawa jamaa zetu tunawanyanyapaa. Haifai hata kidogoKurudisha chenchi TU imekuwa nongwa ππ
ππππKurudisha chenchi TU imekuwa nongwa ππ
Haaaaahaaaaa ni nzuri sana na hatariDuh aiseee
But negativeOutside the box