Makongo High School...!!!

Kumbukumbu nzuri sana hizi, nakupumbuka adhabu za afande Miraji, tunapanga mistari miwili tukiwa tumebeba vifaa vya kazi kama majembe, madumu ya maji na mafyekeo halafu tunatembea tukiimba, pia umwagiliajei wa miti kutoka shule mpaka darajani, dumu moja la lita 20 kwa mti mmoja chini ya usimamizi wa Babu Chacha, siku nzuri sana zile. R.I.P kwa wote waliotangulia mbele ya haki.
 
Kuna mwalimu mmoja anaitwa Mr Chuwa anatembea kama kiberenge!!!!

Kakufundisha lakini hata kama anatembea kama kiberenge!

BTW: Wanafunzi wangu mko wengi (japo mara yangu kufundisha Makongo ilikuwa Feb 2000)
 
Kakufundisha lakini hata kama anatembea kama kiberenge!

BTW: Wanafunzi wangu mko wengi (japo mara yangu kufundisha Makongo ilikuwa Feb 2000)

Uko wapi mwl nikupe deal?! maana vijana wenu mmetulea vyema na tumekuwa wachakalikaji, huku mtaani tuna make billions tu.
 
Uko wapi mwl nikupe deal?! maana vijana wenu mmetulea vyema na tumekuwa wachakalikaji, huku mtaani tuna make billions tu.

Asante, you have made my night. Nipo Moshi siku hizi.
 

hahahahaaaa miraji alikuwa hatari sana, ila yeyeyee kwa matusi aise yule mzee alikuwa ni balaa, nakumbuka alimtukanaga yule msanii man x pale canteen kisa kapaka rangi kucha ni balaa
 
Kisalika ilikuwa ukifanya soo usidhubutu ukaingia darasani umempa kisogo umekwisha, nakumbuka day moja tukiwa tumeingia shift ya jioni akatufumania nje wakati wa vipindi, alipotuita kukamkimbia bana tukazama class, alipoingia darasani akatuambia wote tulaze vichwa kwenye dawati, ebwana nilishitukia bonge la mbata kwenye shingo nilihisi nakufa aisee, cha ajabu alitupata wote akatutoa mbele akatuambia tulale na chini kifudifudi tusiamke mpaka aje atutoe, ngoma ikafika 12 muda wa kutoka kumbe jamaa ameshatambaa kitambo na pickup mitsubish yake
 
Na huyo marehemu yeyeye bana kwa ukali wake na matusi kuna jamaa yangu alimzingua nondo ya physics mwl mkwizu bana mpaka ticha akamtoa nje apige magoti, fuu puu mwanawane yeyeye huyu hapa kamkuta nje ile anamwuliza umefanya nn, alipochungulia class akamwona mwl mkwizu akajua tu mshikaji kamzingua sana ticha maana alikuwa mpole sana, hayo matusi sasa yalivyoanza kutolewa mpaka mshikaji akajikojolea aisee. Daaaa makongo sec, wapi mihogo ya siso?
 
Wapi Mwashiga....,Mr Mayebe a.k.a Masta,wapi Nyalusi.....,Madeghe,....,Malongoli....,Mgongolwa.....,Kaimbe....,Mchwampaka.....,Kombaa mwalimu wa French!!!!!

daaaaa master nakumbuka kuna paper ya necta 4rm two alinikuta nimeenda op alinizibua konzi nikajikuta faster nakumbuka jibu,
kombaa na alikuwa nuksi kweli ukimzingua anakupeleka kwa kipingu either wewe uondoke au yeye abaki, but namkumbuka alinipa shavu la kwenda kumity na afisa wa ubalozi wa ufaransa wakati wa maandalizi ya french day, alikuwa bonge la kichwa wa kifaransa,
 
Mwembeni na Masahibu yake..... Askwambie m2! Unwanted figures...... Kisonga.... Ctive...... Katamba..... Jamboz...... Walikuwa poa sana! Mungu awape maisha marefu..... Major Mayebe..... Capt. Nyarusi...... They were Good in all aspects..... Babu Juma, Bonge Mama Neema kwa wale wapenz wa Joro..... Hawapatkani tena ktk viunga vile.
 
Unamkumbuka afande bruce?, (yule mzee wa kule bweni)?, halafu huyo Hemed si alikuwa mweupe fulani hivi halafu mnoko mnoko?

Na kule mess kulikuwa na jamaa (jina limenitoka) alikuwa aki-mark sura ajabu, yani ukipita kurudia msosi lazima akunase.

Jamaa wa kupakua msosi noma,alikuwa anaitwa Makasi
 

Hahaha hatari yan kuna mwana alikamatwa na joro,ilikua kipindi cha dini wenzake walipoona mafande wakakimbia wakaliacha joro ye akaona isiwenoma akakimbia nalo mpaka choon akaliweka juu kule sa sahan si ikaaunga bana maafande wakashtukia ka kuna mtu walimzuungusha madarasa yote na sahan yake.
 
Unamkumbuka afande bruce?, (yule mzee wa kule bweni)?, halafu huyo Hemed si alikuwa mweupe fulani hivi halafu mnoko mnoko?

Na kule mess kulikuwa na jamaa (jina limenitoka) alikuwa aki-mark sura ajabu, yani ukipita kurudia msosi lazima akunase.

Uncle peter yule.........yupo!!!!!
 
Vibito=wagonjwa walikua hawaguswi!!!!....unakumbuka kuna dogo alimkwatua mtama mzee kisarika then akala kunjo?

Nakumbuka kitu kama hicho aiseee.......!!!!!Daah siku zakukaribia kumaliza shule tulikiwa hatuingii class tunajisomea nyambiz,bwana ee siku ya siku Nyambiz ikavamiwa bwana tulirukishwa kichura mpaka kwa Miraj huku fimbo mgongoni......halafu tukazungushwa kwenye kisima cha Miraji huku fumbo tu lol!!!!!
 
Jamaa wa kupakua msosi noma,alikuwa anaitwa Makasi

Sawa sawa kaka.... anaitwa Makasi. Kwa mara ya kwanza nilienda pale bweni huku nikijua kabisa wanafunzi tuko wengi kweli. Jamaa kuniona tu na risaani langu akanitaka nimpe risiti. Pale pale niliduwaa na kujiuliza huyu amejuaje kuwa mimi mgeni tena kwenye foleni refu kweli? Sitamsahau yule jamaa, tangu hapo akawa mshikaji sana.
 




......mkuuu,unamkumbuka babu side?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…