kuruti wa mungu
Member
- Aug 3, 2013
- 79
- 6
sasa makongo nayo ni shule au ni kituo cha kupigia kwata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwalimu mmoja anaitwa Mr Chuwa anatembea kama kiberenge!!!!
Mnaukumbuka mti mademuuu.......je mti mawazo,mambo ya santorini?R.I.P taichi.
sasa makongo nayo ni shule au ni kituo cha kupigia kwata
Kakufundisha lakini hata kama anatembea kama kiberenge!
BTW: Wanafunzi wangu mko wengi (japo mara yangu kufundisha Makongo ilikuwa Feb 2000)
Uko wapi mwl nikupe deal?! maana vijana wenu mmetulea vyema na tumekuwa wachakalikaji, huku mtaani tuna make billions tu.
...aaahh weeeh,late Miraji alikua mwiba!alimkandamiza mwana konzi mpk akasahau jina alivoulizwa anaitwa nani!!!kuna siku assembly alitishia kuwaotesha majipu wachafuzi wa vyoo akawapa muda.......ile kufika ngoma za saa nne toilets zote zilikua clean!!!nadhani kila mhusika alienda kutoa mzigo wake!!!!
Kuna mwalimu mmoja anaitwa Mr Chuwa anatembea kama kiberenge!!!!
Wapi Mwashiga....,Mr Mayebe a.k.a Masta,wapi Nyalusi.....,Madeghe,....,Malongoli....,Mgongolwa.....,Kaimbe....,Mchwampaka.....,Kombaa mwalimu wa French!!!!!
Unamkumbuka afande bruce?, (yule mzee wa kule bweni)?, halafu huyo Hemed si alikuwa mweupe fulani hivi halafu mnoko mnoko?
Na kule mess kulikuwa na jamaa (jina limenitoka) alikuwa aki-mark sura ajabu, yani ukipita kurudia msosi lazima akunase.
...aaahh weeeh,late Miraji alikua mwiba!alimkandamiza mwana konzi mpk akasahau jina alivoulizwa anaitwa nani!!!kuna siku assembly alitishia kuwaotesha majipu wachafuzi wa vyoo akawapa muda.......ile kufika ngoma za saa nne toilets zote zilikua clean!!!nadhani kila mhusika alienda kutoa mzigo wake!!!!
Hivi......wako wapi kina so much,makumaku,mtoro,mama mchwa......
Unamkumbuka afande bruce?, (yule mzee wa kule bweni)?, halafu huyo Hemed si alikuwa mweupe fulani hivi halafu mnoko mnoko?
Na kule mess kulikuwa na jamaa (jina limenitoka) alikuwa aki-mark sura ajabu, yani ukipita kurudia msosi lazima akunase.
Vibito=wagonjwa walikua hawaguswi!!!!....unakumbuka kuna dogo alimkwatua mtama mzee kisarika then akala kunjo?
Jamaa wa kupakua msosi noma,alikuwa anaitwa Makasi
Mwembeni na Masahibu yake..... Askwambie m2! Unwanted figures...... Kisonga.... Ctive...... Katamba..... Jamboz...... Walikuwa poa sana! Mungu awape maisha marefu..... Major Mayebe..... Capt. Nyarusi...... They were Good in all aspects..... Babu Juma, Bonge Mama Neema kwa wale wapenz wa Joro..... Hawapatkani tena ktk viunga vile.