Makongo High School...!!!

Naskia kuna siku moja bana Kombaa alikua anafundisha french form one. Sa si unajua na mguu wake ule akibend kidogo anakua mfupi? Sasa afande miraji akaingia hilo darasa akakuta watu wananong'ona tu kmbe kombaa yuko nyuma anasahisha madaftari. Unaambiwa miraji akapitisha makonzi darasa zima hadi kwa kombaa bila kujua, acha kombaa awe mbogo.
 
kwasa atunae tena kombaaa RP kombaa mungu akulinde
 
Lilizuka beef kali kati ya Kombaa na Mwaseba baada ya kombaa kumwambia mwaseba eti mwanajeshi gani ana ma.t.ako makubwa kama mwanamke, unaambiwa acha mwaseba ampe ma mbata kombaa
 
Lilizuka beef kali kati ya Kombaa na Mwaseba baada ya kombaa kumwambia mwaseba eti mwanajeshi gani ana ma.t.ako makubwa kama mwanamke, unaambiwa acha mwaseba ampe ma mbata kombaa

Kombaa alikuwa anajiona yeye ndo kila kitu pale chuo......Nakumbuka lilijengwa darasa maalum pale shule kwa ajil ya watu wa KLF!!!!
 
nakumbuka below ilivyokuwa ikiwaondoa wanafunzi hasa f3 kwenda f4 wengi walioshindwa kufikisha wastani walikuwa wanakimbilia kuhamia mbezi beach,tegeta,sinza wazazi na shule nyinginezo
 
Dah! Tuiweke makongo katika maombi, maake migogoro inaimaliza ile shule, na kiukweli inaendelea kubaki jina tu, kwa kweli hatakuimba wimbo washule ilikuwa inaniwia viguma" najivunia shule yangu Makongo..." alafu kuna ziro 200, sitoxahau nilipopigwa fimbo 15 asubuhi alafu ndo naingia kupiga paper ya advance one tahosa kutoka kwa Katamba, 2011-2013 makongo oyeee...!!!
 

Kweli mkuu hali ya sasa yatisha sana
 
afande milaj alinichapa sanaaaa..2004-2005,mungu ailaze roho ya mahal pema
 
ahahaaaa umenichekesha aisee kweli ulikuwa na mkosi siku hiyo
 
1998-2001.............mi sitakaa nisahu "kwenzi" nililopigwa na miraji daa niliona nyota nyota. Yule jamaa alikuwa ana mkono kama nyundo
 
1998-2001.............mi sitakaa nisahu "kwenzi" nililopigwa na miraji daa niliona nyota nyota. Yule jamaa alikuwa ana mkono kama nyundo

Mkuu mimi ilikua siku moja ya zamu. Si unajua utaratibu wa miraji akiita majina? Yaan anaita la baba yako af we unaitika jina lako la kwanza. Akaniita mimi sikusikia nilikua napiga story nyuma na mshkj. Akaaniita tena mara ya pili, ya tatu ndo nikashtuka nikaitika. Akaniita mbele," akanikoa kwenzi moja matata sana mpaka alivoniita jina nikaitikia Miraji"
 
2005-2008
dah kisarika alkua stail yake asembo kitu cha "single turn about turn"
master mayebe cd700 afande chacha
 
Makongo,my beautiful school.
Yeyeye alinichapa adi nikacafua ch..p nikiwa form1
Madeghe alinifundisha chemistry,master hesabu,Komba french etc.Kwa kwl am proud kusoma Makongo 2001-2004
 
mnakumbuka kasheshe za Yeyeye kusubiria Mwenge wanafunzi wanaopanda daladala kwenda makongo or kurudi mwenge?makonda walikua wanarushwaje vichura.Kuna siku alitembeza fimbo Mwenge kwa wanafunzi wote waliokuwa wamefika mwenge mapema soon baada ya kutoka shule coz walikua wamepanda daldala
 
Sitasahau kamata kamata ya machata ilivyoanza mimi na swahiba wangu PAP2 tulivyosulubiwa na afande miraji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…