donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
- #81
......mkuuu,unamkumbuka babu side?
Aisee kisOnga alikua mnoko sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
......mkuuu,unamkumbuka babu side?
kwel kk taluma ya sasa ipo kwenye kuangalia pesa tu nasio elimuNi kweli mkuu, yaan hadi wastani wa kuingia darasa jingine ukatolewa naskia
kwasa atunae tena kombaaa RP kombaa mungu akulindeNaskia kuna siku moja
bana Kombaa alikua anafundisha french form one. Sa si unajua na mguu
wake ule akibend kidogo anakua mfupi? Sasa afande miraji akaingia hilo
darasa akakuta watu wananong'ona tu kmbe kombaa yuko nyuma anasahisha
madaftari. Unaambiwa miraji akapitisha makonzi darasa zima hadi kwa
kombaa bila kujua, acha kombaa awe mbogo.
Lilizuka beef kali kati ya Kombaa na Mwaseba baada ya kombaa kumwambia mwaseba eti mwanajeshi gani ana ma.t.ako makubwa kama mwanamke, unaambiwa acha mwaseba ampe ma mbata kombaa
Dah! Tuiweke makongo katika maombi, maake migogoro inaimaliza ile shule, na kiukweli inaendelea kubaki jina tu, kwa kweli hatakuimba wimbo washule ilikuwa inaniwia viguma" najivunia shule yangu Makongo..." alafu kuna ziro 200, sitoxahau nilipopigwa fimbo 15 asubuhi alafu ndo naingia kupiga paper ya advance one tahosa kutoka kwa Katamba, 2011-2013 makongo oyeee...!!!
Mkuu,
Tujikumbushe kuhusu shule yetu Makongo, hao wengine tuwapuuze, usipoteze muda kubishana na watoto kaka.
ahahaaaa umenichekesha aisee kweli ulikuwa na mkosi siku hiyoMr Mayebe a.k.a Masta huo moto ogopa sana ni hatariii, Siku moja nikachelewa ilikuwa zamu ya asubuhi class kwetu kuna teacher nikadivert nikiogopa kuchezea, si nikazama darasa la watu ambalo lilikuwa hakuna mwalimu kumbe mule nilipoingia masta ndo alikuwa anakipindi, akazama akaanza fundisha harafu kama jana yake alikuwa amewapa home work, akaanza kagua kwa kila mmoja du bahati nzuri alipitiwa hakunitazama lakini mi moyoni ilikuwa balaa.
1998-2001.............mi sitakaa nisahu "kwenzi" nililopigwa na miraji daa niliona nyota nyota. Yule jamaa alikuwa ana mkono kama nyundo
Don't get in mud fight with a pig because at the end both of you will get dirty but a pig will enjoy it.
Kuna mwalimu
mmoja anaitwa Mr Chuwa anatembea kama kiberenge!!!!