TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

Ndiyo ni kama yeye kalala kwa Bwana, na wewe pia uishi au ufe katika Bwana. Vinginevyo mtaonanaje na wewe?
UFU. :14:13
Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

Iwapo amelala ktk Bwana ni heri siku atakaporudi mara ya pili tutaonana naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanadamu aliyezaliwa na Mwanamke siku zake za kuishi ni chache sana.
Pumzika Kamanda mwendo umeumaliza.
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Alazwe Anapostahiri
 
May the almighty God rest his soul in eternal peace. Amen.
 
UFU. :14:13
Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

Iwapo amelala ktk Bwana ni heri siku atakaporudi mara ya pili tutaonana naye
Jamani unatoa sana Quote za Bible
 
Back
Top Bottom