TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

Hatuja wahi kusikia kwamba huyu kamanda ana umwa. RIP Milton.
Huyu amepambana na dhamira yake hadi mauti. Tofauti na wale walio rudi nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P Makongoro,
Poleni sana C.C.M, Poleni sana CDM
Poleni watanzania.
 
kwa hakika kila nafsi itaonja umauti……….RIP Kamanda Makongoro Mahanga!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Ilala, Dkt Milton Makongoro Mahanga amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) alipokuwa anapatiwa matibabu. Mahanga alikuwa mbunge wa Jimbo la Ukonga kuanzia 2000 mpaka 2010 kwa tiketi ya CCM, kabla ya kuhamia CHADEMA mwaka 2015.
 
UFU. :14:13
Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

Iwapo amelala ktk Bwana ni heri siku atakaporudi mara ya pili tutaonana naye
Doo ujumbe mzito sana huu mkuu, bt wa matumain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom